Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No sijawahi kusafiri kwenda Mwanza hivi karibuni lakini yanafika kati ya saa 12-1 usikuYanafika Mwanza muda gani ndugu kwa uzoefu wako?
Yanafika Mwanza muda gani ndugu kwa uzoefu wako?
No sijawahi kusafiri kwenda Mwanza hivi karibuni lakini yanafika kati ya saa 12-1 usiku
Mwanza mbali sana sithani hata bac la 9 linafika saa 12
how can you prove yourself innocent?? we have been in trouble from similar cases and we learnt from mistakes!!!!!This is serious broh. Sio cha msala hiki trust me. Why umuingize mtu innocent kwenye mathow can you
Piga hesabu saa 9 usiku to 1 usikuHahah mzee mwanza unaijua kwl Dar mwanza ni masaa 16-17 hapo ndio gari inayokimbia kwl kwl
Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamaninkukipokea mida hiyo hapo Mwanza.
Usibishe Gari inayotoka DAR saa9 inafika mwanza saa2 kasoro paka saa3 kwa mabasi yanayokimbia Kama Ally's Na katarama Ila kampuni zingine zinafika saa4 kasoro,, mwanza Ni mbali Aisee Ni Kama umbali wa kilometer 1200 from Dar.Piga hesabu saa 9 usiku to 1 usiku
Kwa hiyo saa 2 kasoro siyo saa 1 na dak 45? nimesema saa 12-1 usikuUsibishe Gari inayotoka DAR saa9 inafika mwanza saa2 kasoro paka saa3 kwa mabasi yanayokimbia Kama Ally's Na katarama Ila kampuni zingine zinafika saa4 kasoro,, mwanza Ni mbali Aisee Ni Kama umbali wa kilometer 1200 from Dar.
Shida ni haraka niliyo nayo. Wewe kama huamini my innocence nipe namba yako kama unasafiri. Nitumie pmhow can you prove yourself innocent?? we have been in trouble from similar cases and we learnt from mistakes!!!!!
tumia public transport kama wewe ni innocent
Kwa ndege naona rahisi zaidNaomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza.