Anayesafiri kwa usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza na anatarajiwa kufika Mwanza walau saa 12 jioni

Anayesafiri kwa usafiri binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza na anatarajiwa kufika Mwanza walau saa 12 jioni

Usibishe Gari inayotoka DAR saa9 inafika mwanza saa2 kasoro paka saa3 kwa mabasi yanayokimbia Kama Ally's Na katarama Ila kampuni zingine zinafika saa4 kasoro,, mwanza Ni mbali Aisee Ni Kama umbali wa kilometer 1200 from Dar.
Mwanza na kigoma wapi mbali Zaid?
 
Back
Top Bottom