wakukurupuka1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 525 Reaction score 1,203 Aug 17, 2023 #21 Bejamini Netanyahu said: Kwa hiyo saa 2 kasoro siyo saa 1 na dak 45? nimesema saa 12-1 usiku Click to expand... Timetable ya Latra gari ya saa 9 muda huo Ndio inakua stand Shinyanga inasaini
Bejamini Netanyahu said: Kwa hiyo saa 2 kasoro siyo saa 1 na dak 45? nimesema saa 12-1 usiku Click to expand... Timetable ya Latra gari ya saa 9 muda huo Ndio inakua stand Shinyanga inasaini
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 17, 2023 #22 wakukurupuka1 said: Timetable ya Latra gari ya saa 9 muda huo Ndio inakua stand Shinyanga inasaini Click to expand... Sawa
wakukurupuka1 said: Timetable ya Latra gari ya saa 9 muda huo Ndio inakua stand Shinyanga inasaini Click to expand... Sawa
wakukurupuka1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 525 Reaction score 1,203 Aug 17, 2023 #23 Mkyamise said: Kimiminika. Less thana 1/2 kg Click to expand... Tuma kwa ndege Kesho asbh anapokea
M Muscovy JF-Expert Member Joined May 19, 2019 Posts 785 Reaction score 905 Aug 17, 2023 #24 Wakaz said: Usibishe Gari inayotoka DAR saa9 inafika mwanza saa2 kasoro paka saa3 kwa mabasi yanayokimbia Kama Ally's Na katarama Ila kampuni zingine zinafika saa4 kasoro,, mwanza Ni mbali Aisee Ni Kama umbali wa kilometer 1200 from Dar. Click to expand... Mwanza na kigoma wapi mbali Zaid?
Wakaz said: Usibishe Gari inayotoka DAR saa9 inafika mwanza saa2 kasoro paka saa3 kwa mabasi yanayokimbia Kama Ally's Na katarama Ila kampuni zingine zinafika saa4 kasoro,, mwanza Ni mbali Aisee Ni Kama umbali wa kilometer 1200 from Dar. Click to expand... Mwanza na kigoma wapi mbali Zaid?
wakukurupuka1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 525 Reaction score 1,203 Aug 18, 2023 #25 Muscovy said: Mwanza na kigoma wapi mbali Zaid? Click to expand... Tofaut ya KM 100
I Igulu Bugomola Member Joined Apr 17, 2023 Posts 47 Reaction score 61 Aug 18, 2023 #26 Mkyamise said: Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza. Click to expand... Mm nasafiri kesho jioni
Mkyamise said: Naomba kumpata huyo mtu kama yupo. Nina kiparcel kutoka Dar ambacho natamani kukipokea mida hiyo hapo Mwanza. Click to expand... Mm nasafiri kesho jioni