Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Mauwaji yale yalifanywa na kikundi kisicho rasmi tena kwa kushtukiza na kuvizia kwenye nyumba za watu hii inaweza kuwa jambo lisilokuwa likitarajiwa kutokeaKiuhalisia 29 Oct jeshi likubali lilifeli kulinda raia.
Raia part yao waliitekeleza vyema, jeshi likafeli.. Mnawaambia watu watoke kwa wingi halafu nyie hao hao mnaweka lockdown..
Kiongozi nimeshuhudia polisi wakilenga raia wamesimama mbele ya Iveco ya jeshi, na wanajeshi hawakufanya lolote, na wale polisi waliua raia pale.Mauwaji yale yalifanywa na kikundi kisicho rasmi tena kwa kushtukiza na kuvizia kwenye nyumba za watu hii inaweza kuwa jambo lisilokuwa likitarajiwa kutokea
Hakuna namna yoyote ya kuwatetea jwtz !!Mauwaji yale yalifanywa na kikundi kisicho rasmi tena kwa kushtukiza na kuvizia kwenye nyumba za watu hii inaweza kuwa jambo lisilokuwa likitarajiwa kutokea
Oct 29 ilidhihirisha JW ni nyoka WA mapambo anatisha kwa kumuangalia ila utendaji zero!Kiongozi nimeshuhudia polisi wakilenga raia wamesimama mbele ya Iveco ya jeshi, na wanajeshi hawakufanya lolote, na wale polisi waliua raia pale.
Wanajeshi walikuwa na silaha, ni kama waliona wale askari wamejizatiti kuliko wao, jamaa wakawa wataratibu, walichofanya ni kupiga picha zile maiti na kuondoka.
Na hio si mara moja. Askari walikuwa na kiburi cha kulenga raia mbele ya jwtz.
Tuliokua barabarani tulishuhudia kwa macho, polisi walikuwa wanajiamini kuliko jeshi lakini nadhani kuna mazingira walitengenezewa..Oct 29 ilidhihirisha JW ni nyoka WA mapambo anatisha kwa kumuangalia ila utendaji zero!
ulimsikilizia Mange ? Jeshi linaundwa na vikosi vingi visivyo na mawasiliano na hili ndo ttzo so wapo watiifu kwa wauaji na wapo wanapinga ila hawajuani ndio maana inakuwa ngum kikos kimoja kufanya maamuz ila kwa haya matukio bas huko mbele watajitokeza tuKiongozi nimeshuhudia polisi wakilenga raia wamesimama mbele ya Iveco ya jeshi, na wanajeshi hawakufanya lolote, na wale polisi waliua raia pale.
Wanajeshi walikuwa na silaha, ni kama waliona wale askari wamejizatiti kuliko wao, jamaa wakawa wataratibu, walichofanya ni kupiga picha zile maiti na kuondoka.
Na hio si mara moja. Askari walikuwa na kiburi cha kulenga raia mbele ya jwtz.
Sana Yaani linadharaulika mno mno!Tuliokua barabarani tulishuhudia kwa macho, polisi walikuwa wanajiamini kuliko jeshi lakini nadhani kuna mazingira walitengenezewa..
Jeshi litambue linadharaulika na CCM.
Mlishaambiwa kuwa mtoto wa Samia aitwae Abdul aliingiza nchini container la Silaha na mamluki toka Zanzibar waliletwa bara na kusambazwa Mikoa ya Mbeya, mwanza Arusha Dodoma etc. Kikundi hiki cha maharamia huku Zenj wanaitwa Janjaweed ; na ndio waliofanya mauaji ya kikatili ya vijana wetu!! WAUAJI hao wegine ndio walinzi wa karibu wa Samia ambao ndio viongozi wa kikundi kisicho rasmi cha mauaji.Mauwaji yale yalifanywa na kikundi kisicho rasmi tena kwa kushtukiza na kuvizia kwenye nyumba za watu hii inaweza kuwa jambo lisilokuwa likitarajiwa kutokea
Mauaji yamefanyika siku tatu mfulizo tena yalikuwa well coordinated kubalini tu JWTZ mmekuwa exposed hamna lolote na mmewekwa lockdown mwezi mzima kama kuku wa kisasaMauwaji yale yalifanywa na kikundi kisicho rasmi tena kwa kushtukiza na kuvizia kwenye nyumba za watu hii inaweza kuwa jambo lisilokuwa likitarajiwa kutokea
Wao kama jeshi hawakulijua hilo achen kutetea ujinga if mtu anaingiza silaha ndan ya mipaka yenu na mnajua plan zake still na anakuja anafanikiwa then hamjitambui kubalin tu mmetia aibu sanaMlishaambiwa kuwa mtoto wa Samia aitwae Abdul aliingiza nchini container la Silaha na mamluki toka Zanzibar waliletwa bara na kusambazwa Mikoa ya Mbeya, mwanza Arusha Dodoma etc. Kikundi hiki cha maharamia huku Zenj wanaitwa Janjaweed ; na ndio waliofanya mauaji ya kikatili ya vijana wetu!! WAUAJI hao wegine ndio walinzi wa karibu wa Samia ambao ndio viongozi wa kikundi kisicho rasmi cha mauaji.