wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Jamaa walishapewa code kuwa JWTZ wanebeba mapambo ndi maana polisi walikuwa wanawadharau sanaKiongozi nimeshuhudia polisi wakilenga raia wamesimama mbele ya Iveco ya jeshi, na wanajeshi hawakufanya lolote, na wale polisi waliua raia pale.
Wanajeshi walikuwa na silaha, ni kama waliona wale askari wamejizatiti kuliko wao, jamaa wakawa wataratibu, walichofanya ni kupiga picha zile maiti na kuondoka.
Na hio si mara moja. Askari walikuwa na kiburi cha kulenga raia mbele ya jwtz.