Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

Sasa wewe Jeshi unalikataa tena na matusi juu, askari unataka kuwapelekea moto,hapo hapo unataka kuandamana. Unategemea Nani atakusaidia kikishawaka kama mnavyosema?
Hatutaki kusaidiwa yaani yoyote atayesogeza pua yake kuzuia maandamano D9 ni halali yetu.
 
Back
Top Bottom