wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Jamaa walishapewa code kuwa JWTZ wanebeba mapambo ndi maana polisi walikuwa wanawadharau sanaKiongozi nimeshuhudia polisi wakilenga raia wamesimama mbele ya Iveco ya jeshi, na wanajeshi hawakufanya lolote, na wale polisi waliua raia pale.
Wanajeshi walikuwa na silaha, ni kama waliona wale askari wamejizatiti kuliko wao, jamaa wakawa wataratibu, walichofanya ni kupiga picha zile maiti na kuondoka.
Na hio si mara moja. Askari walikuwa na kiburi cha kulenga raia mbele ya jwtz.
100% nakubaliana na weweJeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9
msiogope tutashinda hii vita.
JWTZ ni jeshi la mashoga, hawakulinda raia sijui walikuwa mitaani na mitutu ile kufanya nini?
D9 hatuna shobo nao, polisi wajiandae kupelekewa moto.
Hawakufahamu hilo toka mwanzoni? Hilo walipaswa kulisema mwanzo kabisa, ina maana hawakujipanga na walikurupuka kama walevi, suala kubwa kama lile lazima mjiridhishe kwa intel isiyo na shaka.ulimsikilizia Mange ? Jeshi linaundwa na vikosi vingi visivyo na mawasiliano na hili ndo ttzo so wapo watiifu kwa wauaji na wapo wanapinga ila hawajuani ndio maana inakuwa ngum kikos kimoja kufanya maamuz ila kwa haya matukio bas huko mbele watajitokeza tu
mpaka sasa hujui watu wanataka nini raisi au mabadiliko ya katiba na mifumo ya kiuchaguziKwahiyo mkifanikiwa RAIS wenu atakuwa nani?
Mnasema mtaandamana mpaka Samia ajiuzulu..sasa akijiuzulu RAIS wenu atakuwa nani?mpaka sasa hujui watu wanataka nini raisi au mabadiliko ya katiba na mifumo ya kiuchaguzi
Uchaguzi huru na wa haki ndio utatupa raisMnasema mtaandamana mpaka Samia ajiuzulu..sasa akijiuzulu RAIS wenu atakuwa nani?
Bado watu mna matumaini na Kapteni Tesha? 🤣Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9
msiogope tutashinda hii vita.
Nakubaliana na wewe mia kwa mia kuwa Jeshi letu hadhi yake imeshuka. Kwa hilo hamna mtu atawatetea mpaka hapo watakapozinduka!! Haiwezekani Abdul kwavile ni mtoto wa Rais akawa na Jeshi lake ndani ya nchi na JWTZ mkakaa kimya!!!! Ridhiwani nae akianzisha Jeshi lake kwa vile baba yake anataka nae aje kuwa Rais mtamkataza vipi?Wao kama jeshi hawakulijua hilo achen kutetea ujinga if mtu anaingiza silaha ndan ya mipaka yenu na mnajua plan zake still na anakuja anafanikiwa then hamjitambui kubalin tu mmetia aibu sana
Sasa wewe Jeshi unalikataa tena na matusi juu, askari unataka kuwapelekea moto,hapo hapo unataka kuandamana. Unategemea Nani atakusaidia kikishawaka kama mnavyosema?JWTZ ni jeshi la mashoga, hawakulinda raia sijui walikuwa mitaani na mitutu ile kufanya nini?
D9 hatuna shobo nao, polisi wajiandae kupelekewa moto.
Tukifanikiwa Raisi atakuwa sio SamuyaKwahiyo mkifanikiwa RAIS wenu atakuwa nani?