Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

Naona umetoa mada kwa hisia zaidi.... Bila kuangalia upande wa pili.

Taasisi nyingi za AFYA zinapokea idadi kubwa ya vijana wanaolalamika kupungukiwa uwezo wa tendo la Ndoa.

Pili. Uuzwaji wa vichochezi vya misuri ili tendo lifanyike imekuwa ni Biashara nzuri

Hizi sababu kuu mbili ukipokea TAKWIMU basi unajua kabisa kwamba tatzo lipo na lina ukubwa kiasi gani.

Kesi zipo mahakamani NDOA zinavunjwa kwa kushindwa kujamiiana kwa miaka.. ukikusanya na hizi takwimu ni sahihi kuwa ktk JAMII yetu kuna hili tatzo.

Si vyema kuwaita Malaya wanaolalamika hali ya kuwa tatzo ni lipo.
 

Sijakataa mahali popote pale
 
Inawezekana tatizo la nguvu za kiume lipo lakini lipo exaggerated. Hao wanaonunua dawa za kujibust si wote hawana nguvu bali wamegeuza mapenzi kama ushindani na kukomoana fln hivi, mwisho wa siku mwanamke anaharibika na mwanaume anaharibika na kumharibia mwingine ajaye atakayetaka show bila kujibust
 
Kabila gani huyo Neema Lugangira?
 
Hiiiih, umeeleza ujumbe kuntu, na kwa ufahamu ule ambao huwa ninao . Naam, huwa Kuna kulog out- NDIYO, ushirikishi mwema,-NDiYO, uhuru mpevu-NAAM na zile nk nk nk . . . .Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…