Anayesema Yanga imeshuka anatumia moyo badala ya ubongo kufikiri

Naam ndugu shabiki oya oya unasemaje yanja afirika imeshuka kiwango au wachambuzi wanatumia hisia.
Kwahiyo kufungwa na Tabora na Azam ndiyo Yanga imeshuka kiwango? Huna ujualo wewe. Yaani Man city ikifungwa na covet city imeshuka kiwango? Mnatafuta ahueni TU nyinyi kwenye akili zenu.
 
Na hapo wala Simba hahusiki kabisaa
Yanga imeshuka lini? Baada ya kuingia makundi au baada ya kushinda ngao ya jamii au baada ya kuifunga Simba?

Yanga Wana uchovu mwingi sana, ina wachezaji wengi wanaotumikia timu zao za taifa kwenye first eleven, Wana mashindano ya CAF champion na NBC league back to black.

Kikosi kipana haimaanishi Kila mchezaji anaweza kucheza namba yoyote uwanjani mchezaji yeyote asipokuwepo. Yanga iliwakosa bacca, Job, Yao na Andabwile kwa wakati mmoja, ndiyo ujidanganye kuwa Yanga imeshuka kiwango? Pamoja na kuwakosa hao wachezaji kule nyuma lakini boli lilitembea kwa kiwango kilekile ila walikosa clear chances TU ikiwemo penati. Ujidanganye ili kutafuta furaha bandia.
 
Ongeza sauti huku baki benchi hatujakusikia, au nasema uongo ndugu zanguni?......
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwahiyo kufungwa na Tabora na Azam ndiyo Yanga imeshuka kiwango? Huna ujualo wewe. Yaani Man city ikifungwa na covet city imeshuka kiwango? Mnatafuta ahueni TU nyinyi kwenye akili zenu.
Haya Uto tuambie ,Mfungwe mechi ngapi ndio muonekane mmeshuka kiwango?
 
Yanga imeshuka lini? Baada ya kuingia makundi au baada ya kushinda ngao ya jamii au baada ya kuifunga Simba?

Yanga Wana uchovu mwingi sana, ina wachezaji wengi wanaotumikia timu zao za taifa kwenye first eleven, Wana mashindano ya CAF champion na NBC league back to black.

Kikosi kipana haimaanishi Kila mchezaji anaweza kucheza namba yoyote uwanjani mchezaji yeyote asipokuwepo. Yanga iliwakosa bacca, Job, Yao na Andabwile kwa wakati mmoja, ndiyo ujidanganye kuwa Yanga imeshuka kiwango? Pamoja na kuwakosa hao wachezaji kule nyuma lakini boli lilitembea kwa kiwango kilekile ila walikosa clear chances TU ikiwemo penati. Ujidanganye ili kutafuta furaha bandia.
Ajabu ni kwamba wewe ndio umetumia moyo badala ya akili na ajabu zaidi unaendelea kuamini timu yenu ni bora na utajitafutia sababu za kujifariji za vipigo.
 
1000288270.png

ama kweli maanguko yapo, kutoka kupiga mishuti mikali mpaka kuwa kocha mchezaji, haya kuwa kocha mchezaji poa kashindwa anatambaa tu uwanjani siku hizi🤣🤣🤣🤣
 
Watu hawajui soka,tena ukisikiliza makolo ambao amesha kua machizi utapoteaa. Ivi unaipimaje Timu ukaja na jibu kua imeshuka wakati wanamechi kama kumi pasipo kuruhusu goal lolote.

Watu wanashindwa kujua malengo ya Kila mechi ni tofauti,watu wanawaza Kila mechi wachezaji watumie Energy kubwa wakati ushindi uhakika. Ukitaka nielewa Yanga Bado wa Mote tena zaidi Ngojaa mechi zao za CL maana huko ndo Akili zao zinahitajika zaidi kuliko huku makolo wanagawa point 6 ,Tizama mechi zao na Vital na CBE zote zilisababisha balaa kubwa goal 6 mtu anakamuliwa fresh kabisa.
Bado upo?
Yanga hii unaifungaje? Unaifungafe x2
 
Bado upo?
Yanga hii unaifungaje? Unaifungafe x2
Tunzeni maneno yenu sawasawa. YANGA Iko vizuri kaka, ni shetani TU anawapitia. Yanga imepoteza mechi zote hizi wakiwa na wachezaji muhimu (Bacca, Boka, aucho, Yao, Andabwile, Mzize) wakikosekana kwenye mechi hii au Ile.
 
Kweli Yanga ipo vizuri😀😀😀. Kwani Ally Kamwe anasemaje? Unaamanisha siku hao wachezaji wakiondoka Yanga itashuka daraja? Maana hao hawapo na wasiporudi Yanga itashuka daraja na vipigo vitaendelea
 
Tunzeni maneno yenu sawasawa. YANGA Iko vizuri kaka, ni shetani TU anawapitia. Yanga imepoteza mechi zote hizi wakiwa na wachezaji muhimu (Bacca, Boka, aucho, Yao, Andabwile, Mzize) wakikosekana kwenye mechi hii au Ile.
Farid Musa, Kibwana pia walikosekana mbona huwataji, ila Uto eti Andambwile ili ujifariji Tu. Hata wewe utunze maneno maana unavyoamini inaweza kuwa sio na timu ikaendelea kushusha points. Hiyo ni timu ya kawaida tu na wachezaji wenu wakiwa na akili kama zako kuwa ni shetani kawapitia mtapewa vipigo mpaka mchakae
 
Ni mtu mjinga tu anaeweza kuamini kuwa Man City kupoteza mechi 5 mfululizo imeshuka kiwango. Yanga ilifungwa goli 2 na Al-hilal lakini hata Al-hilal wenyewe hawaamini kama walichomokaje pale bila kufungwa. Simba wameifunga Bravos lakini hata Simba wenyewe wanashangaa walishindaje mechi ile. Kila mtu anaona Kamara ndiye aliwashindia mechi ile na sio vinginevyo. Hata Bravos wanajilaumu wenyewe kushindwa mechi na sio ubora wa Simba. Yanga ni bora hata kesho na keshokutwa
 
Back
Top Bottom