Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

VERI TRUU
 
Hata mimi hii itakuwa my best option "KUONDOKA" Ili kuepusha yakuepukika
Tatizo mali.Mtuhumiwa na marehemu watakua walikua wanawazia ugawanywaji wa mali.Inauma mnagawana mali pasu kwa pasu,halafu mwanaume mwingine anaenda kuzitumia.
 
Amepata faida gani akiwa msumbufu kuua Sio jibu unakaa nae mbali,shida ya mbali unawaharibu watoto kisaikolojia haina tofaut na talaka
Anachokataa hakuua kwa makusudi.Na alimchoma kuepuka kujulikana.
 
Ukute magunia yalikuaga ndani muda mrefu,na mkewe ndiye alinunuaga.Jamaa kaelezea kua aliua bila kukusudia.Kitendo cha kumchoma ilikua ni kuficha ushahidi.
 
Tatizo mali.Mtuhumiwa na marehemu watakua walikua wanawazia ugawanywaji wa mali.Inauma mnagawana mali pasu kwa pasu,halafu mwanaume mwingine anaenda kuzitumia.
Na hii ndio sababu kubwa iliyokuwa inamfanya Bw. Hamis amvumilie mke wake na vituko vyote alivyokuwa akimfanyia. What happened the rest anajua mtuhumiwa Kama kweli alimua kwa bahati mbaya au alikusudia ili kulinda kile alichokichuma maisha yake yote na mkewe Naomi😊
 
hii kesi anatoboa kwa manslaughter, hata akipigwa murder high court, court of appeal anaweza kushushiwa hadi manslaughter. kwa picha tu ya maelezo, inaonyesha hivyo.
 
Hakuna cha balaa hapa sweetheart, jamaa ameshakili na haogopi kunyongwa kama alivyosema mbele ya mahakama. Anachotaka anyongwe huku imma ukijua kuwa hakuuwa kwa kukusudia😊
Umenikumbusha ex wangu alikuwa ananiita hivyo siku zote...😁😁😁😁
Sasa SI wamnyonge tu wanasubiri Nini?
 
Umenikumbusha ex wangu alikuwa ananiita hivyo siku zote...😁😁😁😁
Sasa SI wamnyonge tu wanasubiri Nini?
Haha so far so sweet of you... for the time being jimbo lipo wazi?😜
No katika ulimwengu wa kisheria mambo hayaendi hivyo sweetheart. Misingi ya kisheria lazima ifuatwe mpaka mahakama itakapothibitisha kuwa KOSA LILIFANYIKA KWA KUKUSUDIA AU KWAKUTOKUSUDIA (Huu ndio msingi mkuu wa case Sasa)
Case isingekuwa kuwa na process ndefu kama angekiri tu na kutulia maanaake hatua ambayo ingefuata Ni HUKUMU tu. Nadhani umenielewa😊
 
Hivi mkuu kichwa yako hua ipo sawa kabisa?
You soo paranoid, sasa sababu za kiusalama zinahusiana vipi na wewe kusema namna ya kujua mauaji yalikua ya kukusudia ama laa?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Hatua si ndio hio inayotufanya uzi unatembea na pgs kiabao
 
Nahisi jamaa ameshachanganyikiwa huyu. Maana nimeshindwa kabisa kuelewa.
 
Nachopendea ndoa ni Kujambiana usiku, hadi kukicha pua zinekuwa kama babalevo kudadeki.
 
Sio wote wana bond kiasi hicho. Ebu soma hapa
• Rukilwa alisema kuwa hakudhamiria kumuua mume wake, kwani wakikuwa wanang'ang'ania shoka na mumewe akajikata kichwa kwa shoka hilo.

• Hata baada ya kutoka jela baada ya miaka 24, watoto wake wote walimkataa wakiaminishwa kuwa alimuua baba yao kwa kupenda.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…