Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Nadhani kuna haja ya kuwaambia wanaoingia kwenye ndoa kuwa wasidhani raha wanayoipata wakianza mahusiano ni ya kudumu,wasipomshika Mungu wao wasitegemee muujiza...
Kuna jamàa anakwambia alipofukuzwa kazi tu na huku mkewe ana kazi ndipo alipozijua rangi zote za mkewe hadi mtoto aliambiwa sio wa kwake unyumba hapewi mke anatoka na wanaume wengine hivi anamuona anamwambia katika wanaume na yeye ni mwanaume ? Yaan mwanamke akikwambia hivyo gunia la mkaa lazima litafutwe

404: Page Not Found
 
Yaani kuna wana ndoa hulalamika kuhusu ndoa lakini watu huwapa maneno ya kuwatuliza ndoa Ndivyo zilivyo vumilia, sasa unakuta mtu anakaa eti Mme /mke miaka zaidi hata 3-6 bila tendo la ndoa, halafu useme kuna ndoa hapo si upuuzi huo, ifike mtu akilalamika kuhusu ndoa ni afadhali watu wapumzishane tu, hapo kuna kuwa mmoja anateseka mwingine yupo kawaida,

Wakati mwingine ndoa kama upumbafu flani.
 
Wabongo wengi tuna shida ya afya ya akili.

Huyu siyo mzima kichwani hata kidogo.
 
Mpaka kufikia hatua hii ni kweli kwamba ugomvi wao ulikuwa mkubwa na wa muda mrefu.
 
Kumbe Naomi alikuwa kiburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…