Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Wanandoa walifanya uzembe wa kutofanya usuluhishi. Jamii pia haikuwaingilia kutatua mgogoro.
Unajua siku hizi mtu ukimuonya mienendo yake anaweza kukudhalilisha hadi ukajuta.

Anakwambia Maisha yangu hayakuhusu hata kama unaona anslaelekea kwenye hatari.

Mpaka mtu limpate ndio anaanza kulaum jamii kwamba haikumsaidia.
Wakati mambo yanamwendea vizuri humwambii kitu same as hawa dada zetu akiwa na mabwana wanamuhonga anaona dunia ni yake. Sasa subiri apate HIV au Mimba na kuachwa au vyote viwili utamuonea huruma.
 
Unaandika ya wengine umesahau ya kwako?
 
haya mambo yanatukuta sisi lakini hata wazazi wetu sometimes tunawaambia wavumiliane but bora kukubali watenganeee ndoa ni hatari sana msipofanana
 
Mimi siongelei cases za wanaume bali naongelea case na watu ninaowafahamu. Sijawataja watu wengine kwenye comments zangu zaidi ya marehemu Naomi na mumewe tu. Sasa hizo zingine kama vyanzo ni wanawake au wanaume mimi sizijui
Sasa kama hiyo scenario mwanaume mwenyewe ameshasema ilifika kipindi yeye na mke wake kila mmoja alikuwa anachepuka huko na kurudi kwa muda wake, halafu wewe na wenzako mnamshikia bango mwanamke tu mara sijui msumbufu mara kiburi kana kwamba mwanaume yeye ndio hakuwa na makosa, yani maelezo yako ni kama yanamshutumu zaidi mwanamke kana kwamba mwanaume yeye alikuwa innocent na ni victim tu wa mke wake
 
Huyu jamaa ni vema wangempeleka kwanza isanga pale akatathminiwe kama dishi liko sawa. Namwona kama kesi ya milembe hii maana kuna siku alishawahi tishia waandishi kuwa ataua mtu tena
 
Inategemea na mwanaume alipokuwa na hela alikuwa anamtreat vipi mke wake

Kama naye alikuwa ndio wale wa "mwanaume akichelewa kurudi haulizwi anatakiwa kurudi muda anaotaka", au "mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja kikubwa heshima na matunzo kwa mkewe asijue", basi siku akifilisika aandike maumivu tu

Mwanamke hana moyo wa chuma wa kusamehe na kuvumilia makosa tu kila siku, naye ni binadamu anachoka na anahitaji kuondoa maumivu yake, na kila mmoja ana namna yake ya kuondoa maumivu aliyokuwa nayo muda mrefu moyoni
 
Hii ndoa inaonekana ilikuwa na ugomvi wa siku nyingi na unaojirudia-rudia. Pengine huyo mwanamke alikuwa ni aina ya wale ambao hawakubali kushindwa na muda wote wanataka kuonyeshana umwamba na mumewe. Ndoa ikishafikia stage hii suluhisho ni kuachana haraka sana kwani mking'ang'ania kuendelea kuishi pamoja lolote linaweza kutokea, i.e. mnaweza kuumizana kwa bahati mbaya au hata kuuana kwa hasira. Wanawaume wenzangu, mimi naamini sana kwenye usawa wa jinsia, lakini hima hima, ukiona mke wako anapenda kufanya ligi na wewe muda wote basi kimbia haraka sana.
 
Huyu jamaa ni vema wangempeleka kwanza isanga pale akatathminiwe kama dishi liko sawa. Namwona kama kesi ya milembe hii maana kuna siku alishawahi tishia waandishi kuwa ataua mtu tena
Na kuna siku pia aliaagiza aletewe kadi zake za bank gerezani ili alipe school fees za wanawe!! Kweli dish linaweza kua limeyumba!!
 
Yaani ukiachana na mke jamii inakuandama ohoooo Akai na mke huyu ana tabia mbaya nyambafuuuu
Ila kweli, jamii inatetea sana mwanamke na kuona kama anaonewa. Jambo la msingi fanya kikao objective na kichwa chako mjiridhishe kama kweli mwanamke ana kosa na kazidi kipimo. Kisha piga chini bila kujali lawama
 
Mmmh[emoji848]
 
Ndiyo hili nilikuwa nalizungumza kwenye post iliyopita. Kwenye ndoa, ligi ya kushindana na kulipizana visasi, eti huyu alikuwa anani-treat hivi basi na mimi nalipiza ni sumu mbaya sana. Mauaji kama hayo kwenye hii kesi hutokana na mambo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…