Anayeshtakiwa kumuua Mkewe adai haogopi Kunyongwa

Mwanamke akisha aanza ligi na Mumewe,ujuwe huyo Kesha kata kamba, tayari ana Jamaa mwingine nje ndiyo anamsikiliza, na huyo Jamaa yake akipendekeza Mume uwawe,Basi Mkeo lazima afanye juu chini hadi ufe!!
 
Mwanamke anayekupenda kamwe hafanyi Ligi na wewe
 
Na kuna siku pia aliaagiza aletewe kadi zake za bank gerezani ili alipe school fees za wanawe!! Kweli dish linaweza kua limeyumba!!
Yeah huyu alifaa apewe daktari wa magonjwa ya akili amtathmini.Wanaweza mfunga bure kumbe alichizika wakati anatenda hilo kosa au gerezani anaweza leta zahama nyingine
 
Nasimama na mwamba.
Watu wa dini ukiwasikiliza wanakuambia wengi tunaoa watu sio sahihi kwa sababu hatumshirikishi Mungu kwenye maombi ya kupata wenza sahihi.
Lakini cha ajabu nina watu nawajua wachamungu kwelikweli lakini wake zao pasua kichwa. Ila sababu jamaa watu wa Mungu wanavumilia kero za wake zao.
Nikiwaza haya naafikiana na madogo wakataa ndoa. Ndoa ni mtego wa kasa.
 
Atatoka huyu kwenye hukumu, au rufaa, hawezi kaa ndani miaka 3 hata akihukumiwa kifungo kirefu.
 
Duuuuu am speechless hasa hapo kwenye kuungua kichwa, matako, matiti na sehemu za siri. Kwa hiyo muda wote alikuwa anakula harufu ya nyama ya mkewe. Oooooh my God.
 
Duuuuu am speechless hasa hapo kwenye kuungua kichwa, matako, matiti na sehemu za siri. Kwa hiyo muda wote alikuwa anakula harufu ya nyama ya mkewe. Oooooh my God.
Na tena huko koote wanasema kulikuwa na mafuta
 

Ndoa kufanana ni muhimu sana.

Pia mambo ya dini ni mambo ya kuamini . Dini haina facts, bali ni imani.

Mfano unaomba Mungu akuletee mke huku upo ndani mfano jela. Je huyo mke atakujaje ?

Ndoa ya nandy na billnass ni mojawapo wa ndoa ya vijana wa kisasa modern marriage. Ambao maisha yao ni kama ya kihuni huni sababu wanaimba muziki ila wanaendana.

Sitashangaa ndoa yao kudumu sana

Tatizo kina sisi watu wa kanisani ama misikitini. Tunakuwa na sura mbili.. tukifunga ndoa tunajikuta hatuendani
 
Huyu jamaa ni vema wangempeleka kwanza isanga pale akatathminiwe kama dishi liko sawa. Namwona kama kesi ya milembe hii maana kuna siku alishawahi tishia waandishi kuwa ataua mtu tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Na kuna siku pia aliaagiza aletewe kadi zake za bank gerezani ili alipe school fees za wanawe!! Kweli dish linaweza kua limeyumba!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…