Anayeweza kutabiri Rais Samia atakakotupeleka kuanzia 2025-2030 wasome uzi huu

Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Unajilazimishaje kuwa mganga wa kienyeji?

Kwani wewe unajijua utakua uko wapi huo mwaka?
 
Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Huyo mama mwisho wake mwema ni 2025 zaidi ya hapo ni giza kuu kwa taifa ..wala hatokuwa na mwisho mwema
 
Ni virungu vya police ndio vitamleleka Ikulu 2025; kwa kura haendi
 
Kwa hiyo mtaipigia Chadema kura?
2025 ni mbali sana mkuu! Tunapochapa Habari kama hizi, siyo uchochezi bali ni kengele tu ambapo pia inaweza kusikiwa na likafanyiwa kazi

Kupigia chadema ama chama kingine ni matokeo ya kiongozi aliyepo kuziba masikio na kutofanyia kazi mambo yanayokera wananchi
 
Rating ya Rais Samia ipo juu sana, sio tu anakubalika ndani ya CCM, bali hata vyama vya upinzani vinamkubali pia
Huko vijijini ndio wakulima wanamkubali balaa baada ya kufungua mipaka na wakauza mazao yao kwa bei nzuri
Kuna wachache wanaopiga kelele kutokana na bei za mazao, lakini hilo ni suala la muda tu, mazao yatashuka bei baada ya mvua kunyesha

Wengine wanaomchukia Samia ni wale wasioamini kuwa mwanamke anaweza kuongoza, hawa ni watu waliopitwa na wakati
Wengine ni lile kundi la mwendazake, waliokuwa wanaamini nchi ili isonge mbele kiongozi wake lazima awe anafokafoka au kuteka na kufunga wanaomkosoa, hawa ni watu wenye matatizo ya kiakili, kwa kiingereza wanaitwa psychopaths
 
Kaka, nilichosema hapo ni sahihi kabisa mkuu!

Ila kwa sababu mnakunywa asali maofisini na hamtoki kujiridhisha, endeleeni, hakuna mahali raisi kwa sasa anakubalika isipokuwa kwenu nyinyi wapambe wa CCM mlionyweshwa maji ya kijani na myoshi ya mwenge
 
Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.

Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Mbona Una kihere here. Nani amekwambia Samia atakuwa raisi miaka yote hiyo
 
Kwa hiyo mtaipigia Chadema kura?
Hapo kuna kizungumkuti kikubwa sana wakati wa uchaguzi ni lazima kuna usaliti utatokea ndani ya CCM hivyo wale watakao jipambanua kwa jina la mzalendo JPM na Nyerere na wale watakao jipambanua kwa jina la Samia na Msoga ... hapo tutakwenda na team wazalendo awe wa chama chochote ... Samia anayo kazi kubwa sana kama atadhubutu kugombea urais 2025 lazima atalazimika kumwaga damu kadhaa ya wazalendo ili kubaki ikulu ... ila baada ya hapo mambo yatakuwa taiti sana kwake na kwa nchi visasi vya damu vitalinyemelea taifa chini kwa chini

Hofu kubwa wa Samia na team yake imejificha kwenye kifo cha JPM ...ikiwa ni mkono wa mtu .. pia wamegundua kuwa JPM ni kama nguvu na imani ya mitume na manabii huwa inaishi hata baada ya wao kufa.
 
Hii vita mshindi anajulikana. Fisadi la Msoga na timu yake wana-delay the inevitable tu ila uhalisia wanaujua, lazima wapoteane. Wamekataliwa mbinguni na duniani. Hili taifa halirudi lilikotoka tena. Muda utasema
 
Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.

Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Yeye na genge lake, Mwinyi, Kinana, Kikwete watazidi kuwa na ukwasi wa kutisha, nchi inazidi kuibiwa kila Kona.
Ufisadi utakuwa umetapakaa kila Kona, kila idard ya umma, ni wizi kwenda mbele
 
Ni ndoto tu, wananchi wengi watanzania wamekusanyika, mara nikaingia sehemu nikakuta ulinzi mkubwa sana. Mhe. Alokaa pale ni Ndugu mmoja hivi alikuwa mpole. Nikaambiwa unaenda wapi huyo ndo Rais. Ni kashituka nikaguna! Huyu? Kivipi! Nikaambiwa ondoka hii sehemu ya VIP, muda wowote huyu anatakiwa kuondoka hapa. Nenda kawaandae wananchi.

Basi nikarudi kwenye eneo la uwanja lilofurika watanzania wengi. Mara yule Mhe. Nilieelezwa ni Rais, akawa amepakiwa ktk gari la jeshi na ikatangazwa ndo Rais! mizinga ikapigwa, vifaru na magari ya jeshi hayo! Wananchi walijawa na furaha kubwa. Nderemo na vifijo, nikajiuliza tu nini kinaendelea? Mbona yule mkuu wetu simuoni? Yu wapi?

Cha ajabu baadae kuna bendera zilipepea pale sasa sijielewi nimechanganyikiwa! Rangi ya zile bendera Mmmh! wananchi waligawiwa sare za kuvaa, zile sare mmmh! na hivyo viatu Mmmmh!

Ni ndoto tu!

Ila hii ni mara ya nne mwendelezo wa ndoto hii! Najiuliza kulikoni! Mara ya mwisho niliota kunaubishani wa Katiba ya nchi. Nini kifanyike! Nchi ilijawa na ukimya, kulikuwa na utupu wa utawala! Kulikuwa na ubishano mkubwa. Nchi ilikuwa imetulia saaana! Hakukuwa na furaha!
 
Back
Top Bottom