Unajilazimishaje kuwa mganga wa kienyeji?Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Huyo mama mwisho wake mwema ni 2025 zaidi ya hapo ni giza kuu kwa taifa ..wala hatokuwa na mwisho mwemaMwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Kijambio cha mama hiki[emoji115]Kama imefika 4000 c unashamba kalime ili usiuziwe hiyo bei
HATOGOMBEA.Huyo mama mwisho wake mwema ni 2025 zaidi ya hapo ni giza kuu kwa taifa ..wala hatokuwa na mwisho mwema
Huyo ni mweu ... anaweza kuweuka akagombea kwa kutumia weu wake ... ila mwisho wake utakuwa mbaya sana kwake na taifaHATOGOMBEA.
Uwe na heshima! 🙏🙏🙏Huyo ni mweu ...anaweza kuweuka akagombea kwa kutumia weu wake ..ila mwisho wake utakuwa mbaya sana kwake na kwataifa
Kalime utajirike, huoni ni fursa hiyoBroo bei ya beans kg 1 Tsh 4,000 huko
Ni virungu vya police ndio vitamleleka Ikulu 2025; kwa kura haendi
Kwa hiyo mtaipigia Chadema kura?Huyo mama mwisho wake mwema ni 2025 zaidi ya hapo ni giza kuu kwa taifa ..wala hatokuwa na mwisho mwema
2025 ni mbali sana mkuu! Tunapochapa Habari kama hizi, siyo uchochezi bali ni kengele tu ambapo pia inaweza kusikiwa na likafanyiwa kaziKwa hiyo mtaipigia Chadema kura?
Rating ya Rais Samia ipo juu sana, sio tu anakubalika ndani ya CCM, bali hata vyama vya upinzani vinamkubali pia2025 ni mbali sana mkuu! Tunapochapa Habari kama hizi, siyo uchochezi bali ni kengele tu ambapo pia inaweza kusikiwa na likafanyiwa kazi
Kupigia chadema ama chama kingine ni matokeo ya kiongozi aliyepo kuziba masikio na kutofanyia kazi mambo yanayokera wananchi
Kaka, nilichosema hapo ni sahihi kabisa mkuu!Rating ya Rais Samia ipo juu sana, sio tu anakubalika ndani ya CCM, bali hata vyama vya upinzani vinamkubali pia
Huko vijijini ndio wakulima wanamkubali balaa baada ya kufungua mipaka na wakauza mazao yao kwa bei nzuri
Kuna wachache wanaopiga kelele kutokana na bei za mazao, lakini hilo ni suala la muda tu, mazao yatashuka bei baada ya mvua kunyesha
Wengine wanaomchukia Samia ni wale wasioamini kuwa mwanamke anaweza kuongoza, hawa ni watu waliopitwa na wakati
Wengine ni lile kundi la mwendazake, waliokuwa wanaamini nchi ili isonge mbele kiongozi wake lazima awe anafokafoka au kuteka na kufunga wanaomkosoa, hawa ni watu wenye matatizo ya kiakili, kwa kiingereza wanaitwa psychopaths
Mbona Una kihere here. Nani amekwambia Samia atakuwa raisi miaka yote hiyoMwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema
Rais atakua nani?Mbona Una kihere here. Nani amekwambia Samia atakuwa raisi miaka yote hiyo
Hapo kuna kizungumkuti kikubwa sana wakati wa uchaguzi ni lazima kuna usaliti utatokea ndani ya CCM hivyo wale watakao jipambanua kwa jina la mzalendo JPM na Nyerere na wale watakao jipambanua kwa jina la Samia na Msoga ... hapo tutakwenda na team wazalendo awe wa chama chochote ... Samia anayo kazi kubwa sana kama atadhubutu kugombea urais 2025 lazima atalazimika kumwaga damu kadhaa ya wazalendo ili kubaki ikulu ... ila baada ya hapo mambo yatakuwa taiti sana kwake na kwa nchi visasi vya damu vitalinyemelea taifa chini kwa chiniKwa hiyo mtaipigia Chadema kura?
Hii vita mshindi anajulikana. Fisadi la Msoga na timu yake wana-delay the inevitable tu ila uhalisia wanaujua, lazima wapoteane. Wamekataliwa mbinguni na duniani. Hili taifa halirudi lilikotoka tena. Muda utasemaHapo kuna kizungumkuti kikubwa sana wakati wa uchaguzi ni lazima kuna usaliti utatokea ndani ya CCM hivyo wale watakao jipambanua kwa jina la mzalendo JPM na Nyerere na wale watakao jipambanua kwa jina la Samia na Msoga ... hapo tutakwenda na team wazalendo awe wa chama chochote ... Samia anayo kazi kubwa sana kama atadhubutu kugombea urais 2025 lazima atalazimika kumwaga damu kadhaa ya wazalendo ili kubaki ikulu ... ila baada ya hapo mambo yatakuwa taiti sana kwake na kwa nchi visasi vya damu vitalinyemelea taifa chini kwa chini
Hofu kubwa wa Samia na team yake imejificha kwenye kifo cha JPM ...ikiwa ni mkono wa mtu .. pia wamegundua kuwa JPM ni kama nguvu na imani ya mitume na manabii huwa inaishi hata baada ya wao kufa.
Yeye na genge lake, Mwinyi, Kinana, Kikwete watazidi kuwa na ukwasi wa kutisha, nchi inazidi kuibiwa kila Kona.Mwaka 2025 mama Samia atatimiza miaka 65 hadi mwaka 2030 Akiwa madarakani atakuwa na umri wa miaka 70.
Mtanzania mwenye kuweza kutambia kipindi Samia Akiwa na umri wa miaka 70 anatupeka wapi atuambie mapema Ili wengi tukatafute maisha kwa Moi kuangalia mapema