Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

Kwanza Joel ni tapeli kama akina Gwajima.
Pili wale ni wayahudi wa imani sio wayahudi/Israel wa damu ya yakobo.
Maendeleo ni juhudi ambacho sisi wa afrika hatuna kazi kuuana wenyewe kwa wenyewe na uroho wa madaraka.
Ikiwa Joel na Gwajima ni matapeli wape salute wale wafuasi wengi sana, na wewe uliwaita matapeli sijui utakua nani?
 
Tena dunia nzima imefanywa ijisikie guilty kwa hicho kinachoitwa holocaust hadi leo hii!!! Nchi nyingi za Ulaya ni kosa la jinai kusema hapakua na mauwaji hayo
 
Wale waliouawa ni binadamu pasipo kujali walikuwa ni Wayahudi wa imani au damu ya Yakobo.

Wajerumani waliangamiza roho Milioni 6 ila hawana laana bali wananeemeka...
Hata hapa Kuna walioua na bado Wako madarakani na watu wanawapigia kura na viongozi wa dini wanawalamba miguu. Hawajalaaniwa pia
 
Mkuu kama hautajali, nitaomba tafsiri sahihi zaidi mno kuhusu hao watu (jews) wa ulaya walioangamizwa kwenye kadhia hiyo uliyoisimulia katika andiko lako.

Huwa ninaona picha zao za rangi na zisizokuwa na rangi pia clips mbali mbali za kutia huruma.

Watu hao mostly walikuwa ni wazungu weupe tena blonde!

Ninavyoelewa uyahudi (jew) ni imani ama tuseme ni dini, pia ni utamaduni ambao unaweza kufuatwa na mtu yeyote kutoka taifa lolote bila kujali mipaka kama ilivyo kwa uislam au ukristo.

Swali langu ni: je hao walikuwa ni waIsrael wayahudi au walikuwa ni wazungu wenye imani ya uyahudi kutoka mataifa hayo yaliyoathiriwa na vita?

Kama jibu litakua ni 'Waisrael', kwanini popote hakuna katika simuluzi hizo kutajwa kama walikuwa ni waIsrael wayahudi wahamiaji ama walowezi?

Majibu yako ndiyo yatayonipatia uzani wa kuzama zaidi ama lah kwenye maswali ya uasili wa watu hao walioangamizwa kinyama sana katika karne ya 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliouawa ni binadamu pasipo kujali walikuwa ni Wayahudi wa imani au damu ya Yakobo.

Wajerumani waliangamiza roho Milioni 6 ila hawana laana bali wananeemeka...
Halafu pia hiyo story ya milioni 6 iliongezwa chumvi na hao wahuni wa kiyahudi. Wajerumani wenyewe Kuna kipindi waligoma kuwalipa mapesa hao jamaa kwamba namba hazikai sawa kuwa waliuawa milioni 6 miaka hiyo lakini now Wako 10 million tu.
Mfalme leopold wa ubelgiji aliua 10 milioni na zaidi ya wa afrika.
Wamarekani walioua zaidi ya milioni 6 ya native Americans.
Waingereza waliua more than 5 milions ya native Australians.
Hao dons wa kiyahudi ndio walikuwa wafadhili wakubwa wa utumwa and we know utumwa umepoteza roho za watu weusi zaidi 100 millions. BUT HUJIULIZI WHY PEOPLE HAWAONGELEI KUHUSU HAO MILLIONS WENGINE WANAONGELEA HAO 6 WA KIYAHUDI???
Na mbona hao jamaa wengine hawalaaniwa pamoja na makosa yote hayo??
Hitler hakuwaua hao jamaa kwa hiyo namba. Wazungu waingereza na Wamarekani ndio waliongeza chumvi na kupitia movies zao ndo wakawaaminisha zaidi watu. Hiyo yote ni kutafuta reasons za kuwapeleka pale Israel
 
Mkuu, kwa maana hiyo Generational Curse haina usahihi wowote bali ni dhana tu ya kufikirika?...
Hizo ni kama imani tu. Wazungu hawaamini sana hayo makitu ndo maana wanaendelea. Acheni uroho na kuuana hovyo kama vichaa mtaendelea
 
Ikiwa Joel na Gwajima ni matapeli wape salute wale wafuasi wengi sana, na wewe uliwaita matapeli sijui utakua nani?
Wafuasi wengi haimaanishi wewe sio tapeli. Sema Wajinga ni wengi. Hata Yesu Alisema hao wanabii wa UONGO watawadanganya "WENGI".
 
Na kama jamaa aliposema hapo juu. Americans aka hao wayahudi Wako unaowaongelea ndio wamewaua Wayahudi halisi wa Biblia na mpaka Leo wanawaua na adhabu yao iko njiani.
 
Jibu lipo hapa,
KIINGEREZA KIDOGO: Many Africans, Christian or not, live in fear of generational curses. When misfortunes hit, they want to know who might have bewitched them.

Ujinga wa mtu kulaaniwa, kurogwa ni wa watu wa Afrika. Wajerumani wanazidi kuvumbua na kuchanga pesa kwa ajili ya maisha yao. Kosa. limefanywa na watu wa zama au karne iliyopita wao wakae na sononeko?
 
Mimi Ni mkristo Ila hapo kwa Israel tumemezeshwa kasumba

Israel Ni ile ya Zama za yesu na mitume hao wa Sasa Ni wachimbachumvi
 
Wajerumani wenyewe Kuna kipindi waligoma kuwalipa mapesa hao jamaa kwamba namba hazikai sawa kuwa waliuawa milioni 6 miaka hiyo lakini now Wako 10 million tu.
Sawa mkuu. Any credible reference please?...
 
Ni story ndefu,why aliwaua hao jamaa.na akaweka policy ya ant Jews,kwenye NAZI.
I don't even know the reasons why Hitler and his fellow gangsters chose to commit all those atrocities.

But all in all, they took away so many innocent lives.
 
I don't even know the reasons why Hitler and his fellow gangsters chose to commit all those atrocities.

But all in all, they took away so many innocent lives.
In deed,more than 6mln Jews its great number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…