Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

Wayahudi wenyewe ni waethiopia ao wazungu changa la macho
 
Wayahudi wahakumuua Yesu mnasomaga wapi nyie.. waitaliano ndio waliomsuluhu na ndio waliomuua Yesu
Wamewaua Wayahudi waluomuua/msulubu Jesus kwa hiyo hakuna matata hapo
 
Wakati wanauwwa hawa wayahudi bado hakukuwa na taifa liitwalo Israel
Watu wanapozungumzia "Taifa Teule" la Israel wanazungumzia according to maandiko yanayowafanya watu wawe kama mazuzu! Na according to hayo maandiko "Taifa Teule la Israel" is more than a piece of land bali Watoto wa Yakobo ambao walianza kuunda taifa teule la Israel hata kabla babu, wa mababu wa mababu wa vizazi kadhaa nyuma wa Hitler hawajazaliwa!
 
Plus sio wale ambao Hitler aliwaua. So mleta mada ulijue hilo kabla ya yote. Wale ni Khazarian people walitoka huko turkey/Russia sio wale damu yenyewe ya Yakobo bali wayahudi wa imani. Yaani kama mimi hapa nibadili dini Leo niwe myahudi lakini sio damu ya Yakobo.
Kasome tena kumbukumbu la torati 18 au 14 uone laana walizoambiwa na ni jamii gani katika historia ya ulimwengu walizipata.
Pia soma na ufunuo 12 nadhani.
So ukae Ukijua wale walio pale Israel now sio watoto wa yakobo. Na ndo maana hata hwajui Wako ni kabila gani Kati ya zile 12.
 
Mimi siongelei ukabila (ethnicity) bali ninazungumzia ubinadamu (humanity)

Ujerumani iliua roho za watu zaidi ya milioni 6.

Hata kama wasingekuwa ni Wayahudi bali ni Wajaluo na Wasukuma...
 
Wala haina ya haja ya kusoma chochote kwa sababu ninachosema ni kwamba, iwe wana wa Yakobo, Esau, Yeremia, Petro, au yeyote yule; suala kwamba eti taifa teule, mara sijui atayewafanyia hivi watalaaniwa; yote hayo ni porojo tu kwa sababu hicho kitu hakipo!!
 
Wee jamaa mbona ni mgumu sana wa kuelewa mambo? Mimi nimekwambia sizungumzii Uyahudi hapa bali ninazungumzia ubinadamu.

Hata kama Ujerumani ingekuwa iliwaua Wajaluo ama Wahaya, bado ningehoji tu ila wewe unakazania utaifa teule utadhani mimi nimeliongelea hilo.
 
Wale sio wayahudi Asili waliouwawa bali ni Wayahudi wa kujipacha soma encylopedia juu Ya kuanza kwa taifa la KHAZARIAN ASHKANAZI JEWS ambao asili yao sio Wayahudi kabisa wala damu ya kiyahudi hawana wao ni wa European decendants sio Semitics , kwa hio ndio maana hao wanaishi ISRAEL NA WALE WAYAHUDI ASILI TOKA NCHI ZA UARABUNI WAKO TAFAUTI KIMILA NA DESTURI NA PIA KUMCHA MUNGU hawa ashkanazi ni Watu wasio na dini wengi Ndio waZAYONI , hitler aliwajuwa ndio maana hatujasikia HITLER ILIWAUWA WAYAHUDI WA LIBYA, EGYPT AU YEMEN hata vita vya North Afrika Wajerumani walipigana na WaengereZa lakini hakuna historia kuwa Wajerumani waliwakamata au kuwauwa wayahudi wale ambao ni DAMU YA YAKOBO
 
Hiyo message uliyo-quote na hatimae kusema wewe huzungumzii Uyahudi umekuta nilikuandikia wewe; au?! Be honest bhana... hebu pitia michango ya watu kisha tafakari michango yao inaegemea wapi!!!!
 

Kijana usiamini kila kitu uambiwacho au ukisomacho. Tumia akili na vyanzo anuai kuchunguza ukweli wa kile kinachozungumzwa, na kwa kupitia TEHAMA unaweza kujua mengi yanayofichwa nyuma ya propaganda zinazoenezwa, zilizoenezwa na zinazoenezwa.

Wajuaji wameshabainisha kuwa propaganda ya "wayahudi milioni 6 kuuawa na Wajurumani" enzi za utawala wa Hitler ni upotoshwaji mkubwa wa kihistoria wenye malengo na mikakati maalum kuhusu wayahudi.

Cha kushangaza zaidi "mauaji ya wayahudi milioni 6" yalitajwa kutokea miaka mingi hata kabla ya Hitler kuingia madarakani, na kunukuliwa na magazeti mashughuli ya nchini Marekani zama hizo!. Usikubali kulishwa matango pori wakati huu ambapo kila jibu waweza kulipata kiganjani kwako.
 
hebu pitia michango ya watu kisha tafakari michango yao inaegemea wapi!!!!
Mimi ninasimamia mada yangu kuu ndio nimeiandika humu na sio michango ya watu ambayo ni mawazo yao na sio maudhui ya mada hii...
 
Hahahahaaaa, mkuu kwa hiyo na wewe haukubaliani na hii takwimu?
Sikubaliani maana kabla ya vita vya pili vya dunia walikuwa milioni 12,vita imeisha wako milioni 15,
Hizi story ni sawa na story za joshua kusinamisha jua na kuua maadui 500,000 kutwa,,,hata bomu la atomic halikuweza kuua watu wote hao,leo eti mishale na mapanga iweze
 
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli.
 
Tumpongeze Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kuzalisha wasomi wazalendo kama Rais Magufuli.
 
Asante Magufuli umejua kuwatumikia Watanzania October tutakupa kura zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…