Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Punguzeni mahaba kwenye nyuzi boxer zinachafuka na nyingine kutoboka mjue😂
Vijana wanasisimka wakiona post zenu.. Angalieni wasiingie wivu wakati hata hamjuani
Punguzeni udambwidambwi wa chumbani tusije kuja kupata mada kesi jukwaani🙌🏿🏃🏿View attachment 3587013
🤣🤣🤣🤣🤣duh ila humu bwanaWadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Punguzeni mahaba kwenye nyuzi boxer zinachafuka na nyingine kutoboka mjue😂
Vijana wanasisimka wakiona post zenu.. Angalieni wasiingie wivu wakati hata hamjuani
Punguzeni udambwidambwi wa chumbani tusije kuja kupata mada kesi jukwaani🙌🏿🏃🏿View attachment 3587013
😅😅😅
kumbe atakua bado ananipenda, Tatizo binti yako ana wivu sana hichi kitu nilikihisikuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Kwakweli tunateseka sana 🙌Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Tayana... nafurahi kukuona, mtumishi🤣🤣🤣🤣🤣duh ila humu bwana
Anyway acha tuwe wapenzi wasomaji
Humu Kuna hitajika maridhiano au tume Huru ndio patapoa🤣🤣🤣🤣🤣duh ila humu bwana
Anyway acha tuwe wapenzi wasomaji
Ila chai ya rangi 🙌🏿🙌🏿🤣 natamani siku moja tuonane.kumbe atakua bado ananipenda, Tatizo binti yako ana wivu sana hichi kitu nilikihisi