Andekeni nyuzi nzuri ila punguzeni mahaba ndani yake

Andekeni nyuzi nzuri ila punguzeni mahaba ndani yake

My daughter huyoo.. Ngoja wakuone live sasa! Naamini hutakwazika nimepost bila consultation🤪
2753e372-6591-47c4-a378-d2c261f43bd8.jpeg
 
Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Punguzeni mahaba kwenye nyuzi boxer zinachafuka na nyingine kutoboka mjue😂

Vijana wanasisimka wakiona post zenu.. Angalieni wasiingie wivu wakati hata hamjuani
Punguzeni udambwidambwi wa chumbani tusije kuja kupata mada kesi jukwaani🙌🏿🏃🏿View attachment 3587013
Noma sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom