ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Pole sana 😅😀Wallah nimekosa jibu... Basi endeleeni na hizohizo😁
Pole sana 😅😀Wallah nimekosa jibu... Basi endeleeni na hizohizo😁
🤣🤣🤣maridhianoHumu Kuna hitajika maridhiano au tume Huru ndio patapoa
Ndio ndioTayana... nafurahi kukuona, mtumishi
Nashaurima mama mchungaji🤣🤣🤣 Mjep
Tukikushauri utashaurika kijana?
🤣🤪😎goodNashaurima mama mchungaji
Na ushauri napokea😁
Kausha damu
vipi hapo unapiga ?Mshangazi
Haichaguivipi hapo unapiga ?
😅😅Haichagui
Heshima yako mkuu
Hahahaha🤣🤣🤣maridhiano
🤣🤣🤣kumbeHashaurikii huyo, amini nakuambiaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi,maji yamerukia limao au maji yameruka kutoka kwenye limao?Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Punguzeni mahaba kwenye nyuzi boxer zinachafuka na nyingine kutoboka mjue😂
Vijana wanasisimka wakiona post zenu.. Angalieni wasiingie wivu wakati hata hamjuani
Punguzeni udambwidambwi wa chumbani tusije kuja kupata mada kesi jukwaani🙌🏿🏃🏿View attachment 3587013
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe
Basi tumuache atapeliwe