Nani huyo anasema sishauriki?Hashaurikii huyo, amini nakuambiaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Uongoo!! Hushairiki wewee. [emoji23][emoji23][emoji23]Nani huyo anasema sishauriki?
Nashaurika mlongo
usernames nyingine bwana 🤣🤣😂Ila chai ya rangi 🙌🏿🙌🏿🤣 natamani siku moja tuonane.
Asante mwenyewe nimekumiss hadi naumwaUongoo!! Hushairiki wewee. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumic mjep wangu, [emoji8][emoji8]
😂😂Ila babu 🤪
Kila mtu ashinde mechi zake!
Mmmh em fanya kitu nione umeni mic, mmmhAsante mwenyewe nimekumiss hadi naumwa
VIJANA WA MAGETONI TUANZE KUWAWEKEA MAFUTA YA TAA KWENYE CHAKULA, WATATULIA.Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪
Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata
Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta imagination ya kuvutia
Wakiwa anzishieni mada mjue mmewabamba vilivyo. Wanapata shida mjue
Punguzeni mahaba kwenye nyuzi boxer zinachafuka na nyingine kutoboka mjue😂
Vijana wanasisimka wakiona post zenu.. Angalieni wasiingie wivu wakati hata hamjuani
Punguzeni udambwidambwi wa chumbani tusije kuja kupata mada kesi jukwaani🙌🏿🏃🏿View attachment 3587013
Nifanye nini? NielekezeMmmh em fanya kitu nione umeni mic, mmmh