Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

Ndizi zile za moshi ziwekwe nyama ya kutosha plus nazi, naimaliza siku vizuri sana. Wali maharage/chapati na roast nyama hapa pia nafsi huburidika .
Machalari oyeeee ๐Ÿ”ฅ
 
Ugali kitimoto hakuna anaepiga hiyo kitu [emoji39]

Kwa junk food ni pizza[emoji487] yaani i can literally kill for a slice of pizza
Junk food kwa lugha laini ya kiswahili ni?
 
Ugali, maharage,samaki,kachumbari
 
Ndio ..... fake, umelenga mule mule๐Ÿ˜‚

Utaje chakula chako basi nikijue
Nimetaja.
Makange ya kuku + ndizi 2 mzuzu uloiva kidogo.
Shushia na wine kidogo aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ