Form four failure atanifaa sana..[emoji23][emoji23]Ni simple tu,
Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo?
Cc Zero iq
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napenda mke Mwanasheria ili nikichepuka nimuombe ushaidi, nitakuwa nafanya makosa akilalamika namwambia leta ushaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda mke Mwanasheria ili nikichepuka nimuombe ushaidi, nitakuwa nafanya makosa akilalamika namwambia leta ushaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
@Zero IQ atakufaa Sana dada angu, Yeye ni Daktari mzuri Sana wa Kuchakata
Mi nnacho mkuu, ila sina chura[emoji3]Awe na kibanda cha chips yatosha!
Hapa ninayo kazi yoyote halali vipi tulianzishe basi.
Duuuh...I want my husband to be a big business man and being well known outside the country and inside.
MwalimuNi simple tu,
Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo?
Cc Zero iq
Sent using Jamii Forums mobile app