Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Mume Mlinzi?
Una buzi lako ili jamaa akienda kuumwa na mbu usiku wewe unaingiza buzi lako linastarehe mpaka asbh. Kweli umelenga ila angalia ukimwi unaua
😂😂😂😂

JF kwa kutafsiri sasa!!
 
Awe mwalimu wa watoto wadogo. Napenda sana watoto na hawezi kuwa na ziara za kikazi au vikao vya ovyo.
 
Ni simple tu:

Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo?


Cc Zero iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke popote pale anatongozwa Bora mama wa nyumbani kidogo kuliko Hawa office tour Mana ofis Kama za kina zero IQ anawezwa kuchakatwa alafu sifa zikamwagwa jamii forum ukaandaa gunia mbili za mkaa bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom