Maswali yako yanaonyesha na wewe ni kati ya asilimia 95 ya watz wenye akili ndogo.....Siku za nyuma niliwahi fafanuzi kutoa katika akili yangu kuhusu mifumo 4
Nayo ni
1)Serikali ya kijamaa na umma wa kibepari
2)Serikali ya kijamaa na umma wa kijamaa
3)Serikali ya kibepari na umma wa kibepari
4)Serikali ya kibepari na umma wa kijamaa
Tumieni akili hapo juu nilazima mnapo chambua serikali mchambue hivi nilivyo panga ndiyo mnaweza kugundua nini tatizo ...mfano hapo nitakuambieni kuwa UJAMAA AU UBEPARI SIYO TATIZO TATIZO NI FORMATION KATI YA HIYO MIFUMO 4 HAPO JUU ....UBEPARI NA UJAMAA VYOTE NI MUHIMU SANA KWENYE TAIFA VYOTE VINATAKIWA KUWEPO KWA PAMOJA ILA KATIKA FORMATION ILIYO SAHIHI ZAIDI KSTI YA HIZO FORMATION 4 KUNA MOJA NDIYO SAHIHI ZAIDI YA ZOTE NA KUNA NYINGINE NI HAPO KATI YA HIZO 4 NI MBAYA SANA ....Sasa kwa kifupi achanichambue kuhusu Rais Nyerere ukiniuliza ksti ya hizo formations 4 Nyerere kosea kwa kutumia hipi hapo nitskuambia kuwa nyerere alijipiga pini ya kujikwamisha na kukwamisha taifa kwa kutumia formation NO 2 hapo juu sasa tumieni akili kama Nyerere alitumia formation no 2 taifa likakwama je baada ya Nyerere kuondoka madarakani tulikosea wapi tena kwenye hizo formation 3 zilizo baki .....baada ya Nyerere kuondoka kulifuata formation iliyo mbaya zaidi kuliko ya nyerere na ndiyo tunayo kwenda nayo hadi sasa japo kipindi cha JPM alichukua formation iliyo sahihi kuliko zote RAIS MWINYI alituingiza kwenye formation NO 3 AMBAYO NI MBAYA SANA NA NDIYO TUPONAYO HADI SASA KWA SAMIA FORMATION YENYEWE NI (SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI ) hii formation inafanya serikali kuwa miliki ya kikundi kidogo cha watu kama mali yao binafsi ...na kufanya serikali kuwa kama kampuni la kibepari la watu fulani pekeyao anao jonufaisha wao binafsi na familia zao mfumo huu unaweza kuingiza taifa lolote kwenye machafuko ya wao kwa wao ni mfumo mbaya na muovu sana.
Kati ya hiyo mifumo 4 mfumo ulio sahihi ni mfumo no 1 ambao ni [emoji116]
[emoji95][emoji95][emoji95] (SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI)[emoji95][emoji95][emoji95]
By GENIUS LWIVA THE GREAT [emoji106]