Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Wachangiaji karibuni kwenye huu mjadala usife na mawazo yako yatoe hapa hii ni sehemu ya kukuza maarifa na uelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema ni huo mfumo bora wa kuifanya serikali kuwa ya (kijamaa na umma wa kibepari)....jpm alifanya serikali iwe kwa maslai ya wananchi siyo kikundi ya wahuni wachache kuitia serikali mifukoni kwa faida yao na familia zaoMkuu hujazungumza JPM alifuata mfumo upi kati hiyo mifumo minne.
Ahsante sana mkuu, ila hujaeleza jinsi unavyo elewa kuhusu hiyo mifumo kwa kufuata maswali yalivyo ulizwa. Jaribu kueleza walau kidogo tu.
Ahsante sana kwa mchangoHiyo mifumo yote ya kibinadam haina faida yoyote kwa mtawaliwa, wala siioni sababu ya kuieleza.
Jifanyie maendeleo yako kwa mfumo wowote ule uliopo na wewe ukiwa na madaraka jiwekee mfumo wako unaouona sahihi.
Mkuu ahsante kwa mchango wako lakini umesahau maswali ya msingi. Swali 1, 2 na 3 tunaomba uyajibu.Hivi tanzania viongozi wetu ni wajamaa 😄
Ova
Ahsante kwa mchango mkuu. Mkuu unaweza pia kutudadavulia jinsi wewe unavyoelewa sasa kwa maana rahisi Ujamaa ni nini?, ubepari ni nini? Hilo la tatu umelimaliza kwa mtazamo wako. Ahsante.Can you imagine Kuna mtu ana mabasi makubwa mengi sana yanamuingizia pesa nyingi kila siku bila kusahau wale wenye ma truck mengi sana ambayo tunayaona kula siku mabarabarani. Then wewe unakuja kujenga reli ili majority ya population wapate usafiri wa gharama nafuu. Hivi Kwa Nini huyu mmiliki wa mabasi na truck asikuone shetani na kujaribu kukwamisha mipango hiyo??
Una supply majenereta na solar panels then mtu anakuja kujenga bwawa la umeme ili majority of population wapate umeme cheap na WA uhakika,Kwa nini huyu generator supplier asikuone shetani na kujaribu kukwamisha mipango hiyo??
I used to think that socialism is bad but with time My opinions change. North Korea ni socialist lakini wanaishi.
Kwa exposure tuliyonayo nadhani ni ngumu kurudi huko. Lakini nadhani tunahitaji socialism chini ya mtu kama jpm under tight control of what people can here or say.
Mkuu unamaanisha control ya kusikia au kusema ndio kuleta maendeleo yetu. Unahitaji taifa la viziwi na mabubu uendelee! Huoni huo ni uendawazimu??!Can you imagine Kuna mtu ana mabasi makubwa mengi sana yanamuingizia pesa nyingi kila siku bila kusahau wale wenye ma truck mengi sana ambayo tunayaona kula siku mabarabarani. Then wewe unakuja kujenga reli ili majority ya population wapate usafiri wa gharama nafuu. Hivi Kwa Nini huyu mmiliki wa mabasi na truck asikuone shetani na kujaribu kukwamisha mipango hiyo??
Una supply majenereta na solar panels then mtu anakuja kujenga bwawa la umeme ili majority of population wapate umeme cheap na WA uhakika,Kwa nini huyu generator supplier asikuone shetani na kujaribu kukwamisha mipango hiyo??
I used to think that socialism is bad but with time My opinions change. North Korea ni socialist lakini wanaishi.
Kwa exposure tuliyonayo nadhani ni ngumu kurudi huko. Lakini nadhani tunahitaji socialism chini ya mtu kama jpm under tight control of what people can here or say.
Ahsante kwa mchangoubepari ni mfumo wa maisha ambao soko ndiyo linatawala/market base ila upande wa ujamaa ni mfumo ambao taaasisi utawala maisha ya wananchi wake katika nyanja zote.
nyongeza kwahyo tusishangae ccm wanaendesha nchi kama familia ni kwasababu mfumo wa ujamaa ni kama taasisi moja ambayo inayooperate katika nyanja zote ila ubepari ni kama vile unapokuwa kwenye soko unachagua ununue nini wakati gani,kwa ubora upi hivyo hata kwenye uongozi anaweza kuongoza chama chochote kile.Ahsante kwa mchango
Ahsante sana kwa mchango mkuunyongeza kwahyo tusishangae ccm wanaendesha nchi kama familia ni kwasababu mfumo wa ujamaa ni kama taasisi moja ambayo inayooperate katika nyanja zote ila ubepari ni kama vile unapokuwa kwenye soko unachagua ununue nini wakati gani,kwa ubora upi hivyo hata kwenye uongozi anaweza kuongoza chama chochote kile.