Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Swali namba 1 na namba 2Hakuna mfumo mzuri kama hakuna balance
Mifumo ya siasa na uchumi.Swali namba 1 na namba 2
Uchopaswa kufahamu ujamaa wala ubepari hauwezi kutusaidia kwa lolote kama watu wajinga.Wachangiaji tunawahitaji hapa
Mada ni nzuri sana, nitakuja tujadili.Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa ujamaa.
Nakuomba sasa andika mawazo yako hapa kwa jinsi wewe.
1. Ujamaa ni nini?
2 . Na ubepari ni nini?
3. Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo??
Karibu sanaMada ni nzuri sana, nitakuja tujadili.
Mkuu eleza kama ulivyo ulizwa kwenye swaliSasa hapo kuna kuchanganya Ujamaa na Ukomunist
Ndio maana hii mada imekuja hapa kutoa sintofahamuSasa hapo kuna kuchanganya Ujamaa na Ukomunist
Hivi kwanini mnaoendaga kuchosha watu humu JF kwa mambo yenu ya kijinga?Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa ujamaa.
Nakuomba sasa andika mawazo yako hapa kwa jinsi wewe.
1. Ujamaa ni nini?
2 . Na ubepari ni nini?
3. Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo??
Maswali yako yanaonyesha na wewe ni kati ya asilimia 95 ya watz wenye akili ndogo.....Siku za nyuma niliwahi fafanuzi kutoka katika akili yangu kuhusu mifumo 4Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa ujamaa.
Nakuomba sasa andika mawazo yako hapa kwa jinsi wewe.
1. Ujamaa ni nini?
2 . Na ubepari ni nini?
3. Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo??
Mkuu kama unaelewa ni bora ukaeleza hicho ulicho nacho.Hivi kwanini mnaoendaga kuchosha watu humu JF kwa mambo yenu ya kijinga?
Mkuu Asante sana kwa mchango wako mzuri. Tunahitaji michango zaidi katika mjadala huu.Maswali yako yanaonyesha na wewe ni kati ya asilimia 95 ya watz wenye akili ndogo.....Siku za nyuma niliwahi fafanuzi kutoa katika akili yangu kuhusu mifumo 4
Nayo ni
1)Serikali ya kijamaa na umma wa kibepari
2)Serikali ya kijamaa na umma wa kijamaa
3)Serikali ya kibepari na umma wa kibepari
4)Serikali ya kibepari na umma wa kijamaa
Tumieni akili hapo juu nilazima mnapo chambua serikali mchambue hivi nilivyo panga ndiyo mnaweza kugundua nini tatizo ...mfano hapo nitakuambieni kuwa UJAMAA AU UBEPARI SIYO TATIZO TATIZO NI FORMATION KATI YA HIYO MIFUMO 4 HAPO JUU ....UBEPARI NA UJAMAA VYOTE NI MUHIMU SANA KWENYE TAIFA VYOTE VINATAKIWA KUWEPO KWA PAMOJA ILA KATIKA FORMATION ILIYO SAHIHI ZAIDI KSTI YA HIZO FORMATION 4 KUNA MOJA NDIYO SAHIHI ZAIDI YA ZOTE NA KUNA NYINGINE NI HAPO KATI YA HIZO 4 NI MBAYA SANA ....Sasa kwa kifupi achanichambue kuhusu Rais Nyerere ukiniuliza ksti ya hizo formations 4 Nyerere kosea kwa kutumia hipi hapo nitskuambia kuwa nyerere alijipiga pini ya kujikwamisha na kukwamisha taifa kwa kutumia formation NO 2 hapo juu sasa tumieni akili kama Nyerere alitumia formation no 2 taifa likakwama je baada ya Nyerere kuondoka madarakani tulikosea wapi tena kwenye hizo formation 3 zilizo baki .....baada ya Nyerere kuondoka kulifuata formation iliyo mbaya zaidi kuliko ya nyerere na ndiyo tunayo kwenda nayo hadi sasa japo kipindi cha JPM alichukua formation iliyo sahihi kuliko zote RAIS MWINYI alituingiza kwenye formation NO 3 AMBAYO NI MBAYA SANA NA NDIYO TUPONAYO HADI SASA KWA SAMIA FORMATION YENYEWE NI (SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI ) hii formation inafanya serikali kuwa miliki ya kikundi kidogo cha watu kama mali yao binafsi ...na kufanya serikali kuwa kama kampuni la kibepari la watu fulani pekeyao anao jonufaisha wao binafsi na familia zao mfumo huu unaweza kuingiza taifa lolote kwenye machafuko ya wao kwa wao ni mfumo mbaya na muovu sana.
Kati ya hiyo mifumo 4 mfumo ulio sahihi ni mfumo no 1 ambao ni [emoji116]
[emoji95][emoji95][emoji95] (SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI)[emoji95][emoji95][emoji95]
By GENIUS LWIVA THE GREAT [emoji106]
Mkuu hujazungumza JPM alifuata mfumo upi kati hiyo mifumo minne.Maswali yako yanaonyesha na wewe ni kati ya asilimia 95 ya watz wenye akili ndogo.....Siku za nyuma niliwahi fafanuzi kutoa katika akili yangu kuhusu mifumo 4
Nayo ni
1)Serikali ya kijamaa na umma wa kibepari
2)Serikali ya kijamaa na umma wa kijamaa
3)Serikali ya kibepari na umma wa kibepari
4)Serikali ya kibepari na umma wa kijamaa
Tumieni akili hapo juu nilazima mnapo chambua serikali mchambue hivi nilivyo panga ndiyo mnaweza kugundua nini tatizo ...mfano hapo nitakuambieni kuwa UJAMAA AU UBEPARI SIYO TATIZO TATIZO NI FORMATION KATI YA HIYO MIFUMO 4 HAPO JUU ....UBEPARI NA UJAMAA VYOTE NI MUHIMU SANA KWENYE TAIFA VYOTE VINATAKIWA KUWEPO KWA PAMOJA ILA KATIKA FORMATION ILIYO SAHIHI ZAIDI KATI YA HIZO FORMATION 4 KUNA MOJA NDIYO SAHIHI ZAIDI YA ZOTE NA KUNA NYINGINE HAPO KATI YA HIZO 4 NI MBAYA SANA ....Sasa kwa kifupi achanichambue kuhusu Rais Nyerere ukiniuliza ksti ya hizo formations 4 Nyerere kosea kwa kutumia hipi hapo nitskuambia kuwa nyerere alijipiga pini ya kujikwamisha na kukwamisha taifa kwa kutumia formation NO 2 hapo juu sasa tumieni akili kama Nyerere alitumia formation no 2 taifa likakwama je baada ya Nyerere kuondoka madarakani tulikosea wapi tena kwenye hizo formation 3 zilizo baki .....baada ya Nyerere kuondoka kulifuata formation iliyo mbaya zaidi kuliko ya nyerere na ndiyo tunayo kwenda nayo hadi sasa japo kipindi cha JPM alichukua formation iliyo sahihi kuliko zote RAIS MWINYI alituingiza kwenye formation NO 3 AMBAYO NI MBAYA SANA NA NDIYO TUPONAYO HADI SASA KWA SAMIA FORMATION YENYEWE NI (SERIKALI YA KIBEPARI NA UMMA WA KIBEPARI ) hii formation inafanya serikali kuwa miliki ya kikundi kidogo cha watu kama mali yao binafsi ...na kufanya serikali kuwa kama kampuni la kibepari la watu fulani pekeyao anao jonufaisha wao binafsi na familia zao mfumo huu unaweza kuingiza taifa lolote kwenye machafuko ya wao kwa wao ni mfumo mbaya na muovu sana.
Kati ya hiyo mifumo 4 mfumo ulio sahihi ni mfumo no 1 ambao ni [emoji116]
[emoji95][emoji95][emoji95] (SERIKALI YA KIJAMAA NA UMMA WA KIBEPARI)[emoji95][emoji95][emoji95]
By GENIUS LWIVA THE GREAT [emoji106]
Mkuu eleza kama ulivyo ulizwa kwenye swali
Jifanyie maendeleo yako binafsi kwa mfumo wowote ule.Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina.
Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa ujamaa.
Nakuomba sasa andika mawazo yako hapa kwa jinsi wewe.
1. Ujamaa ni nini?
2 . Na ubepari ni nini?
3. Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo??
Ahsante sana mkuu, ila hujaeleza jinsi unavyo elewa kuhusu hiyo mifumo kwa kufuata maswali yalivyo ulizwa. Jaribu kueleza walau kidogo tu.Jifanyie maendeleo yako binafsi kwa mfumo wowote ule.