Hahaha mtapiga kelele mkiwa peke yenu
Me nimeliona hilo piaUzi wa kujuana umri huuu..ngoja nipite kimya kimya
Fata maelekezo ya uziUzi wa kujuana umri huuu..ngoja nipite kimya kimya
Duh kweli wewe bado mtoto. Hicho tuachie sisi wastaafu
Mkuu wewe mstaafu?Duh kweli wewe bado mtoto. Hicho tuachie sisi wastaafu
Ndio mzee baba
Nimewaachia mkuuDuh kweli wewe bado mtoto. Hicho tuachie sisi wastaafu
Kumbe umetembea kidogo,heshima yako mchoma mkaa..48 ,Siwezi kutembea na watoto under 18 kama R.Kelly.