[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we unamjua?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Akiwakutaa mtamtambuaaaa
Pipa tupuuu,,,mnahangaika tu humu ndani ,,,na mnawaua wenzenuu
Napenda mtongozo wa age mateMrembo si ulisema unapenda mitongozo? vumilia bado mtongozo wangu!
Na nani?dina vipi unakandwa bado massage
Una siku kadhaa humu sikuoni nikaona upo busy
Hiv ana miaka mingapi?Hahaha hahaha hahaha.....nimecheka peke yangu room hapa hadi Nancy Kanigongea Anauliza nacheka Nini Nimejibu JF Kuna Vituko Kishenzi Vimenifanya Nicheke
Hahaha kama Mtongozo wa Nanyupu vile?Napenda mtongozo wa age mate
Hhhhaaaa wengine tunapenda kutoa like tu hhhaa,,sio tatizoHivi kulike post ni tatizo eenh
KabisaaHahaha kama Mtongozo wa Nanyupu vile?
Nakuja unipelekehahahaa AM HUMBLED! nenda kaoge maji ya bahari !
Tena andika taratibuuu maana wewee humu ni hatareee,,,mnajiuzaaa tu nyie na nitaweka hapa maovu yenu na screen shots !dadek
Nakuja unipeleke
Nyie hamna nomaaaa nisalimie Smart
Sawaserious uje !raha ya uhenga shoo !
Tena andika taratibuuu maana wewee humu ni hatareee,,,
Nimekudharau