Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

aaaah mzee hapo hujasema usichokipenda bali umeonesha una chuki tu na watu haaaaa haaa
But me sipendi mijitu sijui mimtu humu unakuta kwenye thread yanaanza kupiga stories na wengine kusalimiana au kudiscus story ambazo zko tofauti kabisa na thread inavyotaka for sure mnaboa sana..
Utakuta jamaa linajibebisha kinoma kwa mademu Ooh baby nimekumiss Mara ooh sikuoni aisee mnaboa sana mazee ndo maana melo akaweka pm mazes.
Mnatujazia sana msg kwenye thd tena unakuta thread inaomba ushauri
Aisee badiliken mazee
 
Back
Top Bottom