Jamani ni noomaa,,halaf sijui anapewa maneno na kina nani ya kuhisi hisi tu nae anaaminihahahaha kwamba mie wanted!lol!nimeshayazoea haya mie ! yaan ni mbingu na ardhi !
Yaan me natoaga likes tu unipende unichukie nakupa likes tuHhhhaaaa wengine tunapenda kutoa like tu hhhaa,,sio tatizo
usibabaike !labda uniambie huna la kufanya !ptuJamani ni noomaa,,halaf sijui anapewa maneno na kina nani ya kuhisi hisi tu nae anaamini
Nimegonga penyeweeeusibabaike !labda uniambie huna la kufanya !ptu
Nimegonga penyeweee
Ptuuu nimekutema mateee
Ila we kiboko bora wenzioo,,hadi invisible anakujuaa,,siku moja tu ukavua chupi,,wanawake jf hakunaaaaahahaha wewe si unajiuza tu humu kwan nan hajui !ptu nimekudharauuu
Ila we kiboko bora wenzioo,,hadi invisible anakujuaa,,siku moja tu ukavua chupi,,wanawake jf hakunaaaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] poleni sanaYoung usishangae yaan wapo hivyo kwa siku unajikuta pm zinajaa salaam tu na kuombwa no
Beby wako beia katuaga anarudi shuleehahaha hapana chezea mbitiyaza
Hao wanakopa pmMimi sipendi mtu anajisifu ana hela kwenye thread zake..
Ahaaa kumbe! Pamoja sana mkuu Smart911 soma hii comment tuache hizi mambo commenter hapana penda [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]aaaah mzee hapo hujasema usichokipenda bali umeonesha una chuki tu na watu haaaaa haaa
But me sipendi mijitu sijui mimtu humu unakuta kwenye thread yanaanza kupiga stories na wengine kusalimiana au kudiscus story ambazo zko tofauti kabisa na thread inavyotaka for sure mnaboa sana..
Utakuta jamaa linajibebisha kinoma kwa mademu Ooh baby nimekumiss Mara ooh sikuoni aisee mnaboa sana mazee ndo maana melo akaweka pm mazes.
Mnatujazia sana msg kwenye thd tena unakuta thread inaomba ushauri
Aisee badiliken mazee
Unakuta yesterday at the bla bla bla nilikua ninakunywa afu nilikua nimejaa hasa .....sasa hapo tu Mimi nachokaHao wanakopa pm