Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Smart911 sweetheart am sorii wacha nichit chat hapa badae kama utanichapa haina matataaa. [emoji12] [emoji12]
dd3bb64d42e674d4e2832b95ddab721b.jpg
 
Sipendi kuona mtu akimpenda T.L huku anamchukia mkuu,

Sipendi kuona mtu akimpenda mkuu na kumchukia T.L

Wasitumike kutugawa, hao ni watu Kama Sisi na wanakosea Kama Sisi

Tuwapende Kama Sisi tunavyojipenda.
 
aaaah mzee hapo hujasema usichokipenda bali umeonesha una chuki tu na watu haaaaa haaa
But me sipendi mijitu sijui mimtu humu unakuta kwenye thread yanaanza kupiga stories na wengine kusalimiana au kudiscus story ambazo zko tofauti kabisa na thread inavyotaka for sure mnaboa sana..
Utakuta jamaa linajibebisha kinoma kwa mademu Ooh baby nimekumiss Mara ooh sikuoni aisee mnaboa sana mazee ndo maana melo akaweka pm mazes.
Mnatujazia sana msg kwenye thd tena unakuta thread inaomba ushauri
Aisee badiliken mazee
Ahaaa kumbe! Pamoja sana mkuu Smart911 soma hii comment tuache hizi mambo commenter hapana penda [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Back
Top Bottom