Ni raha tuuu[emoji23][emoji28][emoji23] JF aiseee
Tutamdharau ptyuuuuuu
hahha wanakusoma tu !raha ya kuwa na wahenga mwaya !vitoto tupa kuleee !Hao marafiki wapenzi wasalimie sana jaman huku pm kwangu ni salaam tu zimejaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana mi staki kucheka ujueStress zao wapambane nazo wenyewe wasituletee sisi ila kuna vitu demi haviji hivi unaanzaje kujijibisha na I'd zako
Ni uzwazwa tu na utoto mliyofanyana yaishie huko huko ili tujue sijui kama wamekulanamie nahis kam unaenda mbali zaid !yes umepata mwanamke jf mmekutana mkajikuta mmeenjoy ngono ! kinakuchokuwasha kuja kujiexpose hvyo ni nn sasa ohh mie nina pumzi n blah blah kibao hahaha kama na wewe hujiuzi ni nn !imagine mfano wewe ukutane na Slim5 alafu muanze kutuelezea mlivyofinyana lodge si wehu huu jaman !khaa
grow up rafiki
We mbiti ebu waforwad na hukuAtugawie jamani hawa wa salamu siwataki
Acha tujiuze ndio raha ya mwanamke au wivuuuu [emoji3][emoji3][emoji3]hahahaha hamnitishiii mnajiuza nyie
Ahahhh beira ndio ameenda shule leohahha wanakusoma tu !raha ya kuwa na wahenga mwaya !vitoto tupa kuleee !
binafs am humbled jaman! akuu !
Vinachekesha sanaaa acha tucheke tu wanajua wapo na watoto wenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bwana mi staki kucheka ujue
We mbiti ebu waforwad na huku
watoto haoUsipopatikana sasa mbona haupo hewan umenitenga,utafikir hata anatuma bando lo
na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lolAcha tujiuze ndio raha ya mwanamke au wivuuuu [emoji3][emoji3][emoji3]
yaani [emoji1][emoji1] sijajutiaga kuwa na hii AppNi raha tuuu
Mwingine anaweka emoji tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo maneno yako kwenye picha yanamaanisha usiiamini KARMA? Binafsi sipendi watu wanaoQUOTE UZI MREFU, wanaboa sana, mtu anaquote uzi mreeeeeefu halafu anasifia tu "nimekuelewa sana mkuu" yaani kivyovyote vile uzi mrefu USIQUOTE
karibu [emoji4]Haina Noma Chief. ILikuwa Ni Kifurushi cha Data na Siyo Vocha ILa big Up I appreciate.
Wewe na espy mnafaidi mema ya nchi..na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
Weee hata isikupe shida ... Najua kudeal nao hawa !!!...Mima na Putin a.k.a watuhumiwa namba mbili naomba mkaushe hivohivo ili tujiongeleshe wenyewe kwa wenyewe hahaha mkijitokeza ntaumiaaaaaaaa Silence is the best answer mi na kuwashwa kwangu tu. Trump power eeee Smart911 and mahondaw wish you a good night... Adios [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Smart911 sweetheart Nalog off.
Kuna wanajf wanawajua wanawake wote wa jf..na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
Mkuu Miller ,, Habar za usiku Mkuu.hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]