Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Hao marafiki wapenzi wasalimie sana jaman huku pm kwangu ni salaam tu zimejaa
hahha wanakusoma tu !raha ya kuwa na wahenga mwaya !vitoto tupa kuleee !
binafs am humbled jaman! akuu !
 
mie nahis kam unaenda mbali zaid !yes umepata mwanamke jf mmekutana mkajikuta mmeenjoy ngono ! kinakuchokuwasha kuja kujiexpose hvyo ni nn sasa ohh mie nina pumzi n blah blah kibao hahaha kama na wewe hujiuzi ni nn !imagine mfano wewe ukutane na Slim5 alafu muanze kutuelezea mlivyofinyana lodge si wehu huu jaman !khaa
grow up rafiki
Ni uzwazwa tu na utoto mliyofanyana yaishie huko huko ili tujue sijui kama wamekulana
 
We mbiti ebu waforwad na huku

ahahah sasa wewe ule msemo wa kusema wanwake wa jf wanajiuza utatamalaki hapa !
dec mwaka jana kuna mshikaj aliniambia mbiti nenda abood kapokee mzigo wako kuna bahasha mle !OMG OMG OMG !SIMJUI HANIJUI !nakushukur mama kunizaa mwanamke !woyooooo!sifowadr shoga !
watu tunajipulizia marashi ya watu na hadhi zao !mxiewww live long jf
 
Acha tujiuze ndio raha ya mwanamke au wivuuuu [emoji3][emoji3][emoji3]
na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
 
Wewe na espy mnafaidi mema ya nchi..
 
Mima na Putin a.k.a watuhumiwa namba mbili naomba mkaushe hivohivo ili tujiongeleshe wenyewe kwa wenyewe hahaha mkijitokeza ntaumiaaaaaaaa Silence is the best answer mi na kuwashwa kwangu tu. Trump power eeee Smart911 and mahondaw wish you a good night... Adios [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]

Smart911 sweetheart Nalog off.
Weee hata isikupe shida ... Najua kudeal nao hawa !!!...

Subiri ukiwa online ,nambie nikutumie shots za mshenzi mmoja humu ili umwone choooo !!!...naendelea kusoma ....

Bahat nzuri Mimi sijawahi kushindwa kitu.
 
na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
Kuna wanajf wanawajua wanawake wote wa jf..
 
Back
Top Bottom