[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ahahah sasa wewe ule msemo wa kusema wanwake wa jf wanajiuza utatamalaki hapa !
dec mwaka jana kuna mshikaj aliniambia mbiti nenda abood kapokee mzigo wako kuna bahasha mle !OMG OMG OMG !SIMJUI HANIJUI !nakushukur mama kunizaa mwanamke !woyooooo!sifowadr shoga !
watu tunajipulizia marashi ya watu na hadhi zao !mxiewww live long jf
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahenga oyeeena ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
hoyeeeeeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahenga oyeee
Hili nalo ni janga....Hili ndio janga la wanaume wa jf salaam mara kumi atakuja asubuhi morning shunie itaenda eeenh atakuja mchana mambo mzima atarudi tena vipii za kwako khaaaa atarudi usiku tena usiku mwema hapana jaman wanakera
Kula like afandeUle uzi wa kupeana like nauchukia sana
PM yako haina makuu? Manake tukiwasalimia mnatunanga sana.Karibu mkuu. Mi mzima wa afya
Tatizo avatar yako haina mvutoKutuma meseji pm kwa msichana na kutojibiwa chochote
πππππPost za misiba watu tuna like tu sembuse hii
Niweke iliokaa vipi sasaTatizo avatar yako haina mvuto
Yaani, alafu hzo za kujisifu ni mambo za wanawake lkn wanaume wa humu wanajisifu bila aibu, ovyo kabisawoyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
HahahahahahahHili nalo ni janga....
Ifike mahali hizi salamu zikatumwe radio free, too much!!!!!!
sema wewe !niksema mie mbiti tabu tupuYaani, alafu hzo za kujisifu ni mambo za wanawake lkn wanaume wa humu wanajisifu bila aibu, ovyo kabisa
Tena wakawatumie ndugu zao waliopo vijijiniHili nalo ni janga....
Ifike mahali hizi salamu zikatumwe radio free, too much!!!!!!
Lakini like unazipenda mkuuUle uzi wa kupeana like nauchukia sana
haaaaaaaaaaaaTena wakawatumie ndugu zao waliopo vijijini
Msikute na makabila nayo yanachangiaYaani, alafu hzo za kujisifu ni mambo za wanawake lkn wanaume wa humu wanajisifu bila aibu, ovyo kabisa