Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ahahah sasa wewe ule msemo wa kusema wanwake wa jf wanajiuza utatamalaki hapa !
dec mwaka jana kuna mshikaj aliniambia mbiti nenda abood kapokee mzigo wako kuna bahasha mle !OMG OMG OMG !SIMJUI HANIJUI !nakushukur mama kunizaa mwanamke !woyooooo!sifowadr shoga !
watu tunajipulizia marashi ya watu na hadhi zao !mxiewww live long jf