Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

ahahah sasa wewe ule msemo wa kusema wanwake wa jf wanajiuza utatamalaki hapa !
dec mwaka jana kuna mshikaj aliniambia mbiti nenda abood kapokee mzigo wako kuna bahasha mle !OMG OMG OMG !SIMJUI HANIJUI !nakushukur mama kunizaa mwanamke !woyooooo!sifowadr shoga !
watu tunajipulizia marashi ya watu na hadhi zao !mxiewww live long jf
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
na ukiona salam zimezid saaaan jua huyo ni under 35 !kuwa makini !heehehe !wahenga anakuja pm mara moja moja !anaomba namba kiheshima !unaskia tu calls oh wknd upo wapi! unakunywaga? if yes bas ngoja nikutumie walau kawine ukanywe !hehehe nataman kuwatag hapa !nawapenda mno mno ! mmoja espy anamfaham! raha ya kuwa mhenga !lol
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahenga oyeee
 
woyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

hajui watu wana kazi zao mxiewwwwwwww! mwingie hana mbele wala nyuma ati anakuja ohh naombwa sana pesa pm na wadada heheheheh kiruuu!kuombwa pesa kipaji nacho ujue
Yaani, alafu hzo za kujisifu ni mambo za wanawake lkn wanaume wa humu wanajisifu bila aibu, ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom