Andika usichokipenda humu JamiiForums

hhhhhaaaaaaaaaaa ptuuuu
 
Kiongozi unajua nini si kwamba ni utani bali ni ukweli uliopo,,unakuta mtu anatatizo anaomba ushauri au msahada ,,unakuta mtu anakua wakwanza kuchangia,,anasema Ngoja waje"" waje akina nani sasa, we umekuja kufanya nini sasa kama hauna chakuchangia..
Kweli wapo wengi wa namna hiyo
 
Sipendi I'd za wana JF. Majina Mabaya Sijawahi Ona. Mfano Gudume. Mbitiyaza. Mshipa[emoji2] [emoji2] Nikiandika Page Nzima Itajaaa
 
Sipendi Tabia Ya The Bold. Anapigwa ban Anakaa Miezi 3 Akirudi Anasalimia Hadi Leo Yajawahi Kurudi. Nimemzarau Na yeye. Mnisamehe Tuu[emoji28] [emoji28]
Seriously chief [emoji15] [emoji15]
Nimeshaandika nyuzi Tatu tayari tangu nirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…