Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

ProcrastinatorInChief

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
13,027
Reaction score
29,556
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..

Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..

Ambao Ulikuwa kwa Uchaguzi wa Mwaka 2020 Magufuli atashinda kwa 80% ✅️
Na Magufuli alishinda kwa zaidi ya 80%. ✔️

alitabiri kwamba Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. ✅️

kweli mnamo Mwaka 2024 mpaka 2025 Uchaguzi wa Chadema,Wengi hawakuamini Kuwa Lissu anaweza kuwa Mwenyekiti wa Chama Mpaka Ilipotokea Mwaka huu..
na Kiukweli Amekibadilisha sana Chama kimekuwa na Misimamo hatari kama Alivyotabiri.., Na Kumeibuka Mifarakano Hata kabla hawajamaliza Uchaguzi na Hata baada ya Kumaliza Migongano ya Ndani kama G-55 na Yote ikiwa ni migongano ya Kimaslahi..✔️

Kwa Sasa Tunasubiri Tabiri zake Kadhaa Kama Zifuatazo..

  • Mwinyi atashinda Zanzibar,
  • CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa.(Maana Yake alijua kwamba Uchaguzi Chadema Watasusa)
  • ACT Bara itasinyaa.
  • CUF & NCCR wamefika mwisho.
  • 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM.
Screenshot_20250413_130428_X.jpg

Lakini Ikumbukwe kwamba Hiyo sio mara Ya kwanza watu Kutabiri Mystery na Ikatokea.. Mnamkumbuka Logan smith aliyetabiri Kifo cha Malkia wa Uingereza na Akatoa Mpaka tarehe ya Kifo? Na akatoa Tarahe ya Kufa kwa Prince charles?

20250413_132432.jpg
 
View attachment 3302766

View attachment 3302789
Asante Ila Dr usiweke limit ktk kuview prof kwakua hatuwezi kusoma nyuzi za nyuma
 
Mengine sio utabiri ni mipango.

Kujua yaliyopangwa sio kipawa. It is a privilege.

Kama mimi kesho nimepanga naenda kukutana na BABA MTU anipe BORROW, nikisema hilo haimaanishi nimetabiri, natoa tu onyo kwa mashangazi wakae kando.

Cc: Poor Brain Extrovert
So Kumbe Tayari wameshapanga Kumuua King charles?
 
Kwenye hiyo ya Daudi naona ambayo ipo updated ni hy ya uchaguzi mgumu kwa ccm 2025 ila Hayo mengine yote ni ya 2020.

Huo unaosema ni utabiri, umetolewa Septemba 2020, muda ambao ni karibu na uchaguzi hvy mambo mengi yanakuwa yameshajulikana.

Yn kusema H. Mwinyi kushinda Zanzibar hilo haliihitaji utabiri pia ACT kuwa na cheo huko Zanzibar sio jambo la utabiri.

Kuhusu hy ya 2025, kwa hakika n lazima ingekuwa uchaguzi mgumu kwa ccm ndani ya chama na uchaguzi mkuu, kwani JPM (kama angekuwa hai) ndio angeachia madaraka hvy je n nani atapaswa kumpokea au (kama wengi walivyokuwa wanasema kuwa ni dikteta) kama angeminya uchaguzi ili aendelee kuongoza je mataifa na vyama vya ndani wangese a nn ikiwemo ccm wnyw.

Hivyo binafsi hapo kwa Daudi sijaona utabiri wowote, zaidi ni aliendana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo. Ni sawa na sasa hv niseme ccm itashinda kwa 70%, huu sio utabiri bali ndo hali halisi kutokana na wakati uliopo sasa hv hapa.

SIJAONA UTABIRI HAPO.
 
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..

Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..

Ambao Ulikuwa kwa Uchaguzi wa Mwaka 2020 Magufuli atashinda kwa 80% ✅️
Na Magufuli alishinda kwa zaidi ya 80%. ✔️

alitabiri kwamba Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. ✅️

kweli mnamo Mwaka 2024 mpaka 2025 Uchaguzi wa Chadema,Wengi hawakuamini Kuwa Lissu anaweza kuwa Mwenyekiti wa Chama Mpaka Ilipotokea Mwaka huu..
na Kiukweli Amekibadilisha sana Chama kimekuwa na Misimamo hatari kama Alivyotabiri.., Na Kumeibuka Mifarakano Hata kabla hawajamaliza Uchaguzi na Hata baada ya Kumaliza Migongano ya Ndani kama G-55 na Yote ikiwa ni migongano ya Kimaslahi..✔️

Kwa Sasa Tunasubiri Tabiri zake Kadhaa Kama Zifuatazo..

  • Mwinyi atashinda Zanzibar,
  • CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa.(Maana Yake alijua kwamba Uchaguzi Chadema Watasusa)
  • ACT Bara itasinyaa.
  • CUF & NCCR wamefika mwisho.
  • 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM.
View attachment 3302766

Lakini Ikumbukwe kwamba Hiyo sio mara Ya kwanza watu Kutabiri Mystery na Ikatokea.. Mnamkumbuka Logan smith aliyetabiri Kifo cha Malkia wa Uingereza na Akatoa Mpaka tarehe ya Kifo? Na akatoa Tarahe ya Kufa kwa Prince charles?

View attachment 3302789
Hizo tabiri ni sawa na kutabiri jua litaonekana kuchomoza kesho asubuhi.
 
Back
Top Bottom