T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Ben Pol alikuwa na gari ila hela ya kununua kiberiti hana. Majani ya chai yalimshinda. Msanii kumiliki gari ukamuita ana uchumi mzuri ni sawa na kumkuta mwalimu na kishkwambi ukasema anaenda na mtandao. Msanii bora auze kiwanja kijijini kwao ili anunue gari for branding akitarajia litamuingizia deals za hela. And somehow they are right.Bro masikini ana gari
Huyo mkubwa sana, inawezekana ameamua koolewa mwenyewe baada ya kuona boyfriend wake anachelewa kumuoa badala yake umekuwa uchumba sugu halafu akamuambia amelazimishwa na wazazi wake ili asione amemsaliti .Kwenye picha inaonesha ni 23-26
Hapo hakukua na muoaji tayari tu anatia huruma mpaka sasaWamekaa kwenye mapenzi miaka mitano, aliwahi taka kutoa mahali wakamkatalia? Au alikuwa na "nia njema" kwa mdomo tu na si vitendo.
Mimi ningekuwa kaka wa huyo dada ningemzaba vibao kudate na huyo jamaa miaka mitano bila bila.
Btw hakuna mzazi anataka binti yake aolewe na mtu ana career haisomeki na character ya mashaka.
Na vilevile huyo mchekeshaji inawezekana anaandika hapo kwa maumivu mpaka na kutaja jina la huyo binti ili asionekane kaachwa, ionekane binti kalazimishwa. Kumbuka ni msanii.Huyo mkubwa sana, inawezekana ameamua koolewa mwenyewe baada ya kuona boyfriend wake anachelewa kumuoa badala yake umekuwa uchumba sugu halafu akamuambia amelazimishwa na wazazi wake ili asione amemsaliti .
Hela sio shida. Shida ni career na character. Mtu kama Chief Godlove hela anayo ila character yake sitopendelea dada yangu aolewe nae.Ila kiukweli mwanaume unaweza lalamika pale unapokataliwa kuoa kwenye ukoo flani ila akitokea mtu wa kariba yako anataka kuoa dada yako na mwingine mwenye uhakika wa maisha anamfukuzia posa. Si ajabu akimkataa aliyejipata lazma mumsakame sister kazingua.
Kiufupi wazazi hawajaona comedy kama sustainable career na wala haileti hadhi na heshima wanayoitaka. Kwa hiyo sio mbaya wazazi wakifikiria future ya mtoto na wajukuu zao na kama binti alichagua kufurahisha wazazi kuliko wewe.
Na wewe tafuta chaka lako.
Mjinga hapo ni yule aliyelazimisha kuoa ni kama mbakaji tu Bado Kuna mambo hayo Hadi leoNimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
🤣🤣🤣Nawaunga wazazi wa huyo binti mkono , huyo mhuni anaeonekana bonge nyanya wa ni nini sasa🚮
Kuna uwezekano mkubwa huyo binti anadanganya amelazimishwa.Mjinga hapo ni yule aliyelazimisha kuoa ni kama mbakaji tu Bado Kuna mambo hayo Hadi leo
Mashavu kama puto anaonekana mzembe mzembe na mhuni tu , mimi ningemtoa nduki na bakora kabisa
Jamaa ana gari, ana kula vizuri, ana lala pazuri, ndo nimeshangaa unamuweka kwenye group la masikini?Hahhahahaha bro uko serious?
Mkuu kila kitu kipo wazo na kaka yake Binti ndo kiherehereKuna uwezekano mkubwa huyo binti anadanganya amelazimishwa.
😆 Bro mambo hayaendi hivo,hiyo ni kazi yakeMashavu kama puto anaonekana mzembe mzembe na mhuni tu , mimi ningemtoa nduki na bakora kabisa
Unajua why nacheka 🤣Mashavu kama puto anaonekana mzembe mzembe na mhuni tu , mimi ningemtoa nduki na bakora kabisa
Bado nacheka alooooMashavu kama puto anaonekana mzembe mzembe na mhuni tu , mimi ningemtoa nduki na bakora kabisa