Wacha bana, kwani wanafyeka miti ya nchi nzima hadi nchi iwe jangwa? Miti michache ya Selou haiwakilishi nchi.Miti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha bana, kwani wanafyeka miti ya nchi nzima hadi nchi iwe jangwa? Miti michache ya Selou haiwakilishi nchi.Miti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Wacha bana, kwani wanafyeka miti ya nchi nzima hadi nchi iwe jangwa? Miti michache ya Selou haiwakilishi nchi.
Ipo ila imegoma kutoka huko chinihivi gas imekwisha.....?
Gesi tayari na wenyewe mkuu.Aisee, Miti milion tatu sio mchezo. Kwanini tusirudi tuu kwenye gesi ambako miundombinu yote ishafanyika. Tuweke gas plant kubwa tuu pale Lindi na uzalishaji uanzie pale. Chenji itayobakia tuwekeze kwenye kilimo ili ku boost Sera ya viwanda na kurahisisha upatikanaji wa malighafi.
Mmmh!! Ina wenyewe kiaje, na ni akina Nani!? Hebu fafanuaGesi tayari na wenyewe mkuu.
Doesn't matter, mazingira yanaharibiwa. Kunya ni kunya tu ata ukinya kidogo harufu ni ile ile.Total area of Selous Game Reserve 54,600 km²......Total area needed for Stiegler's Gorge Project is about 1,350 square kilometers
Ukiona mtu anatumia nguvu kwenye miradi kama hii basi jua kuna wizi mkubwa sana unaandaliwa.
Wakishatoka madarakani ndo ukweli unakuja kuwekwa wazi.
Sawa na mradi wa bomba la gesi ambalo sahivi halitumiki tena.
[FONT=Courier New said:the implementation would involve felling of more than three million trees.[/FONT]