Andiko la Prof. Mwalyosi la 2009 kutumika kama tathmini ya mazingira Stiegler's gorge; watakaopinga kufungwa

Andiko la Prof. Mwalyosi la 2009 kutumika kama tathmini ya mazingira Stiegler's gorge; watakaopinga kufungwa

Total area of Selous Game Reserve 54,600 km²......Total area needed for Stiegler's Gorge Project is about 1,350 square kilometers

And that 1,350sqm is the prime wetland if you did not know. Hizo zingine ni ardhi ya kawaida tu
 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola amesema Bungeni siku ya Jumanne Mei 22 kuwa 'pepa' iliyoandaliwa na Prof. Raphael Mwalyosi kutoka IRA UDSM ya mwaka 2009 itatumika kama tathmini ya athari za kimazingira za ujenzi wa bwawa la Stiegler's.

Amesema, " Kwa taarifa yenu, Serikali itaendelea na utekelezaji wa mradi mpende ama msipende. Wanaopinga mradi huu wataishia jela"
Kazi ya Mwalyosi ni ya 2009 na sasa tuko 2018 takribani miaka 10 iliyopita. Hivyo validity ya hiyo EIA itajuwa imepitwa na wakati. Huu (nyekundu) ni ujuha wa kiwango cha lami na ujinga wa hali ya juu kabisa. Huyu nae amesha poteza hoja kabaki na UDOLA tu. Tukiitwa shithole (neno la kuudhi na dharau) tujue ni watu wa aina hii wanao tupeleka huko.
 
Kwani umeme wa gas tulioambiwa ni mwingi hadi tutauza nchi jirani imekuwaje tena hadi tukimbilie wa maji tuliokuwa tunaachana nao hadi sasa tumepanga kukata miti milioni 3? kweli Tz hii sijui nani alituloga.
 
Amesema, " Kwa taarifa yenu, Serikali itaendelea na utekelezaji wa mradi mpende ama msipende. Wanaopinga mradi huu wataishia jela"..
Twende mbele na kurudi nyuma , Hivi Kangi Lugora ni mzima ? Watu hawawezi kwenda jela kwa amri ya mtu mdogo sana kama Kangi Lugora , kuwa kwake kuruta wa polisi hapo zamani asidhani kwamba ndio anaweza kunyea katiba ya nchi , bila shaka amelewa madaraka kishamba sana !
 
Amesema, " Kwa taarifa yenu, Serikali itaendelea na utekelezaji wa mradi mpende ama msipende. Wanaopinga mradi huu wataishia jela"..
Si angesema tu wanaopinga watamiminiwa risasi kama alivyomiminiwa TL...!
 
Miti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.

Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Hiyo miti ni ya selous tu ni kaeneo kadogo like 1530 sqkm pia gesi magumashi mkuu. Ni kama sio yetu.
 
Back
Top Bottom