GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Hatari sanaHiyo miti ni ya selous tu ni kaeneo kadogo like 1530 sqkm pia gesi magumashi mkuu. Ni kama sio yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaHiyo miti ni ya selous tu ni kaeneo kadogo like 1530 sqkm pia gesi magumashi mkuu. Ni kama sio yetu.
Miti zaidi ya milion 3, halafu still wanasema hawata haribu mazingira!! ,, like seriously!!?
3,000,000 trees[emoji849]
Hebu watupe case study ya nchi nyingine iliyowahi ku implement project iliyoleta madhara makubwa ya kimazingira kama hii.
Na je hali ikoje kwa sasa kwenye nchi hiyo hata baada ya kufanikisha mradi huo??
Tatizo siyo miti milioni 3. Hiyo ni lugha ya wanasiasa na ignorance ndani yake kutaka kuwaonyesha wananchi kwamba ni tatizo kubwa. kwani fito milioni 3 siyo miti? Miti hupimwa kwa cubic meters na siyo idadi ya milioni 3, that will be nonsense argument.Aisee, Miti milion tatu sio mchezo. Kwanini tusirudi tuu kwenye gesi ambako miundombinu yote ishafanyika. Tuweke gas plant kubwa tuu pale Lindi na uzalishaji uanzie pale. Chenji itayobakia tuwekeze kwenye kilimo ili ku boost Sera ya viwanda na kurahisisha upatikanaji wa malighafi.
ndio maana atuendelei kwa kutoendeleza miradi iliyoanza na hata huu akija mwingine ataona aufaiAisee, Miti milion tatu sio mchezo. Kwanini tusirudi tuu kwenye gesi ambako miundombinu yote ishafanyika. Tuweke gas plant kubwa tuu pale Lindi na uzalishaji uanzie pale. Chenji itayobakia tuwekeze kwenye kilimo ili ku boost Sera ya viwanda na kurahisisha upatikanaji wa malighafi.
Tatizo Kubwa ni pale ishu za kitaalam zinapojadiliwa na wanasiasa wasiojua chochote kuhusu nishati.....Aisee, Miti milion tatu sio mchezo. Kwanini tusirudi tuu kwenye gesi ambako miundombinu yote ishafanyika. Tuweke gas plant kubwa tuu pale Lindi na uzalishaji uanzie pale. Chenji itayobakia tuwekeze kwenye kilimo ili ku boost Sera ya viwanda na kurahisisha upatikanaji wa malighafi.
Sasa tuliwekeza hela nyingi kwenye pipeline ile za nini!? Kama ndiyo hivyo vigezo ni vyema mkawaelewesha wananchi. Vilevile hakuna aliyepinga nyie kujenga huko Ruvu, Ila tunajaribu kuangalia possible cautions and options. Hela tunazowekeza huko si mchezo mkuu, na bomba letu kazi yake itakuwa ndogo sana tofauti na mategemeo yake.Tatizo Kubwa ni pale ishu za kitaalam zinapojadiliwa na wanasiasa wasiojua chochote kuhusu nishati.....
Mchakato wa kugeuza nishati ya Maji na gesi kuwa Umeme uko tofauti.... Akiba ya nishati ya gesi huisha kadiri unavyotumia....akiba ya nishati ya maji utumie au usitumie hupotea bure...Gharama za awali za uwekezaji katika nishati ya maji ni kubwa kuliko zile za gesi..wakati uendeshaji wake ni Mdogo sana kulinganisha na gesi..... Athari za mazingira ni Kubwa katika Umeme wa maji kuliko gesi....Nadhani yote haya na mengine mengi Wataalam wetu waliyaangalia huku wakitilia maanani HITAJI letu kwa wakati huu....wakapanga namba zao kisha wakatoa majibu...
Hivyo kung'ang'ania tu miti milioni Tatu wakati haujui namba nyingine zinaendaje ni ujinga....
Angalizo: Nchi nyingi za ulaya zimeanza kuachana na matumizi ya nishati ya nyukilia baada ya kupata maendelea kupitia nishati hiyo....Tujali zaidi mahitaji yetu kwa wakati wetu , mazingira yetu na hali yetu.....
Dah....tatizo kumbe siyo bomba LA gesi....wala miti million 3....tatizo kuu ni mindset..... nyie...sisi..wale....wakati wote tunajenga nyumba moja....TANZANIA....Sasa tuliwekeza hela nyingi kwenye pipeline ile za nini!? Kama ndiyo hivyo vigezo ni vyema mkawaelewesha wananchi. Vilevile hakuna aliyepinga nyie kujenga huko Ruvu, Ila tunajaribu kuangalia possible cautions and options. Hela tunazowekeza huko si mchezo mkuu, na bomba letu kazi yake itakuwa ndogo sana tofauti na mategemeo yake.
Tutakesha mkuu. Uwe na siku njema.Dah....tatizo kumbe siyo bomba LA gesi....wala miti million 3....tatizo kuu ni mindset..... nyie...sisi..wale....wakati wote tunajenga nyumba moja....TANZANIA....
Unless you are stupid ndiyo unaweza pinga mradi huu ambao utapunguza gharama za umeme. Gesi akina JK na wachina wake walipiga na bei ya umeme kwa gesi ingekuwa kubwa. Acheni cheeeeeeap politicsMiti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Unless you are stupid ndiyo unaweza pinga mradi huu ambao utapunguza gharama za umeme. Gesi akina JK na wachina wake walipiga na bei ya umeme kwa gesi ingekuwa kubwa. Acheni cheeeeeeap politics
WACHA MITI MIL 3 WAU WALIHAMISHWA ZAIDI YA IDADI HIYO YA MITI NA MIRADI KAMA 3 GORGES YA CHINA NA PIA BWAWA LILIOJENGWA ETHIOPIA MIAKA HII HIICYA KARIBUNI, HIYO MITI NI PAMOJA NA VCHAKA VIPO KARIBU KARIBU ENEO NI NDOGO SANA LA MBUGA YA SELU. ETHIOPIA SASA WAKO WANATAKA KUTUUZI UMEME . WOTE HAWA WALILALAMIKIWA ETI WANAHARIBU MAZINGIRA. HICHO KIMRADI CHA UMEME WA GESI WA BEI MBAYA HAITAKAA ITUFIKISHE MAHALI. TUPATE UMEME WA BWAWA KWA BEI CHINI YA THELUTHI MBILI YA HII WANAYOTUPIGA KWA KUTUMIA GESI. MUNGU TUSAIDIE WATANZANIA3,000,000 trees[emoji849]
Hebu watupe case study ya nchi nyingine iliyowahi ku implement project iliyoleta madhara makubwa ya kimazingira kama hii.
Na je hali ikoje kwa sasa kwenye nchi hiyo hata baada ya kufanikisha mradi huo??
Single ya umeme wa gesi ime scratch mkuu... [emoji23] [emoji13] [emoji85]Miti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Inakadiriwa kwamba kwa mwaka hekta za misitu laki mbili mpaka tatu hufyekwa hapa nchini.... source: NAFORMA REPORTKama sikosei Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 Africa zinazoongoza kwa ukataji miti. Deforestation
Ile 1.5 Trln haijatosha mkuu?Mkuu zinatafutwa hela kwa ajili ya uchaguzi 2020. Kabla ya kila uchaguzi, chama kileee lazima kipige hela za kisawasawa. Haya ni maandalizi ya kuhalalisha dili hilo.
Kushindwa kudhibiti mauwaji hakuhalalishi watu wauwawe zaidi....Ni miti mingapi inakatwa kwa siku kwa ajili ya mkaa????