Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah....nawe mkuu..Tutakesha mkuu. Uwe na siku njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....nawe mkuu..Tutakesha mkuu. Uwe na siku njema.
Mradi wa gesi unaendelea. Lengo ni kuwa na umeme wa 20,000 MW ambao mwingine tutakuwa tunauza nje. Nyingi ya gesi ya Mtwara iko chini ya bahari na bado haijapata wawekezaji wa kuichimba. Mtakumbuka Prof Muhongo alivyowaambia akina Reginald Mengi kuhusu ukubwa wa gharama ya uwekezaji katika mradi huo wa gesi. Si mchezo, huu wa Stiegler's gauge uwekezaji wake ni peanut!SIJAWAHI kumsikia yeyote anatoa majibu ya gesi katika kuondoa tatizo la umeme
Kwa sheria ipi ya JMT?wasaliti wa mradi huu wanafaa kunyongwa kabisa
Tatizo siyo miti milioni 3. Hiyo ni lugha ya wanasiasa na ignorance ndani yake kutaka kuwaonyesha wananchi kwamba ni tatizo kubwa. kwani fito milioni 3 siyo miti? Miti hupimwa kwa cubic meters na siyo idadi ya milioni 3, that will be nonsense argument.
Ukitaka kujua maan ya hydro power fuatilia hydro kubwa kuliko zote china. Utaiona gharama ya mazingira iliyotokana na power station hiyo. Kelele zilipigwa sana! relocation ilikuwa ni ya watu milioni 1 na hata rotation ya dunia ilipungua kwa kiasi fulani. Lakini dam ilijengwa! Binadamau tunataka maendeleo na siyo glory ya mazingira ambayo wengi pia hamuwezi kuieleza. KIla mbunge ni kelele tu! na hata wakipewa EIA hawatweza kuielewa na kutoa challenge zaidi ya kufuata kitakachoandikwa.
HAPA hoja ya msingi ni Je? gharama ya kutumia gesi na bei zake bado zitabaki kuwa JUU kwa miaka 25...kutokana na mikataba mibovu iliyoingiwa....so kwa S.G ni project cheep kwa ujenzi wa miaka 3....na tutafaidika kwa tofauti kubwa ya gharama...fedha tunazotarajia kuwekeza Stieglers zikiwekezwa kwenye kuzalisha umeme wa gesi tutapata megawatt ngapi?
..wanamazingira wanadai tangu mradi wa Stieglers uasisiwe enzi za Mwalimu Nyerere kiwango cha maji kimepungua mno ktk bonde la mto ruaha, kilombero, na rufiji.
..kwa hiyo maoni yao ni kwamba mradi utaathiri kwa kiwango kikubwa shughuli za KILIMO za wananchi wanaoishi ktk bonde hilo.
..Pia katika awamu ya Mzee Kikwete tuliambiwa kwamba umeme wa maji siyo wa uhakika/kutegemewa, hivyo ni busara kuwekeza kwenye umeme wa gesi.
HAPA hoja ya msingi ni Je? gharama ya kutumia gesi na bei zake bado zitabaki kuwa JUU kwa miaka 25...kutokana na mikataba mibovu iliyoingiwa....so kwa S.G ni project cheep kwa ujenzi wa miaka 3....na tutafaidika kwa tofauti kubwa ya gharama.
ulaya mbona hakujageuka jangwa wao wamefyeka miti yote kujenga majiji ya london,paris nk wamekomalia kwetu na nyie vibaraka wao mnabweka humu.Marekani imekataa kusaini mikataba ya uchafunzi wa mazingira ya mi moshi ya viwanda nk kwa kuangalia maslahi yake.Tanzania tuna matrilioni ya miti eneo linalokaliwa na watu ni robo ya nchi miti milioni tatu ni kitu kibaraka wa wazungu wewe?Miti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?
Joka, hayo yote yawezekana lakini ndani yake naona uwongo ambao hata mimi nimeusikia. Hydro haiwezi kuathili kilimo, ila kilimo kinaweza kuathili hydro. Sababu ni kwamba hydro tunaiita ni non-consumptive user wa maji. Hydro huchukuwa energy tu na kuyaachia maji yaendelee na njia yake. Hydro haipunguzi kiwango cha maji yanayotiririka labda kama ktk plan hiyo kutakuwa na kulazimisha maji yabadili njia yake. Upotevu pekee ni evaporation itakayotokana na bwawa. Je, evaporation ni kubwa kiasi hicho? NO! NO!..fedha tunazotarajia kuwekeza Stieglers zikiwekezwa kwenye kuzalisha umeme wa gesi tutapata megawatt ngapi?
..wanamazingira wanadai tangu mradi wa Stieglers uasisiwe enzi za Mwalimu Nyerere kiwango cha maji kimepungua mno ktk bonde la mto ruaha, kilombero, na rufiji.
..kwa hiyo maoni yao ni kwamba mradi utaathiri kwa kiwango kikubwa shughuli za KILIMO za wananchi wanaoishi ktk bonde hilo.
..Pia katika awamu ya Mzee Kikwete tuliambiwa kwamba umeme wa maji siyo wa uhakika/kutegemewa, hivyo ni busara kuwekeza kwenye umeme wa gesi.
Joka, hayo yote yawezekana lakini ndani yake naona uwongo ambao hata mimi nimeusikia. Hydro haiwezi kuathili kilimo, ila kilimo kinaweza kuathili hydro. Sababu ni kwamba hydro tunaiita ni non-consumptive user wa maji.
Egypt alikuwa anapinga hydro ya Ethiopia kwa sababu alifahamu mradi ule haukuwa ni hydro tu, ilikuwa ni pamoja na irrigation. Meles Zenawi alisema hilo. Ethiopia ni nchi kame sana na haikuingia akilini kwamba wanaachia maji kuelekea Nile. Mpango wa tangu mwanzo ni kutumia bwana la umeme ktk umwagiliaji...nadhani KILIMO kinaathiri hydro.
..na hydro pia inaathiri kilimo.
..kuna utakumbuka EGYPT anapinga mradi wa umeme wa ETHIOPIA akidai kwamba utapunguza kiwango cha maji anayopata.
..mimi nadhani tunahitaji WATAALAMU waende huko wakatafiti na kushauri nini kifanyike.
..Wanasiasa walitakiwa wasubiri Wataalamu wabishane halafu wao wachukue maoni ya upande ulioshinda.
..Kwa hali iliyopo sasa hivi inawezekana Wataalamu wakawa wanashinikizwa na wanasiasa.
Swali zuriHilo andiko liko wapi?
Uliona mbali nadhan Sasa tunajioneaMiti milioni tatu? Hawa jamaa wanataka kuigeuza hii nchi jangwa.
Mbona hawasemi kwanini hawaelekezi nguvu kwenye umeme wa gesi?