Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kweli hapa aliteleza sanaMm ni muumini wa maandiko yake lkn alinivunja Moyo juu ya andiko lake kuhus Ben Sanane
Itakuwa mtu alimuandikia kwenye ukurasa wakeHuyu ndiyo wanasema alikuwa na ukaribu na Ridhiwani au ni mwingine? Yeye mwenyewe alikana kupewa sumu hivyo itakuwa siyo sumu.
HakikaInasemekana ule haukuwa muhandiko wake
Mada hii hii ?Shujaa alikuwa hafichagi kitu
Yule Mwamba JPM Mungu amrehemu!
Nada ni Sumu haionjwi πΌMada hii hii ?
Kumbe ushautwika ! basi hayaNada ni Sumu haionjwi πΌ
Duh!...Mimi si msomaji mzuri sana wa Maandiko Matakatifu , lakini ninafahamu kidogo kwamba ndani ya Biblia kuna kisa kilichomhusu Yesu na Petro , inaelezwa kwamba Petro alijaribu kupita Juu ya Maji kama alivyokuwa anafanya Yesu , yaani Yesu alikuwa na kawaida ya kukatiza tu Juu ya Maji bila kuzama kama sisi tunavyokatiza barabarani , sasa Bwana Petro naye akaona ngoja apite juu ya Maji kama Yesu alivyokuwa anafanya .
Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba , baada ya kujaribu tu Petro akaanza kuzama , baada ya kuona hivyo haraka sana Petro akamwita Yesu na kumuambia Yesu amshike mkono kumuokoa ili asizame , inadaiwa kwamba Bwana Yesu akanyoosha mkono akamshika Petro na kumuokoa na hakuzama tena , Wanazuoni wanasema kwamba Iwapo Ndugu Petro angenyamaza kimya bila kuomba msaada wa Yesu basi bila shaka angezama na pengine angeliwa na Mamba .
Andiko hili linatufundisha kwamba tunapopatwa na matatizo , tusinyamaze , tufungue vinywa vyetu kuomba Msaada ili tuokolewe
View attachment 2894079
Karibu sanaDuh!...
Shetani hajawahi kuwa na Rafiki , kwani Philipo Mangula alifanya kosa gani ?Kipi kilisababisha watu wahisi huyu mwamba amepewa sumu?
Alifanya nini kibaya?
Unamaanisha Accumen Mo ana darcity π π€£πSi huyo, yule alikuwa dogo tokea pwani au Dar kama sikosei.
Spending too much on the war ona sasa ...Mna savings kama za walimu.Unamaanisha Accumen Mo ana darcity π π€£π
Usituchokoze sis walimu.Spending too much on the war ona sasa ...Mna savings kama za walimu.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1754188070063136873?s=19
Acha ujinga weweSpending too much on the war ona sasa ...Mna savings kama za walimu.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1754188070063136873?s=19
πππAcha ujinga wewe
NisameheUsituchokoze sis walimu.
Alisemaje mkuuMm ni muumini wa maandiko yake lkn alinivunja Moyo juu ya andiko lake kuhus Ben Sanane
Alitoa chafu nyingi inshort alimaanisha Ben alijitekaAlisemaje mkuu