Andiko la Thadei Ole Mushi lilivyonifikirisha

Huyu jamaa alitekwa kisha akalishwa sumu. Msomeni Kigogo2014, huwa habahatishi.

Hili kanusho aliliandika chini ya usimamizi wa wazee wa makotikoti. Ulitegemea aandike nini?
 
Kuna kiongozi WA CCM aliwahi kupanda jukwani na kusema kuwa "Wapinzani wa CCM hawatamalizwa kwa risasi tena bali kwa sumu". Simkumbuki yule mtu
 
Andiko hili linatufundisha kwamba tunapopatwa na matatizo , tusinyamaze , tufungue vinywa vyetu

Mkuu Duh!

Nimesoma wee, nasikia unasema hakutafuta ushauri au usaidizi mapema!

Huwa namshangaa sana "mungu" wako. Mungu huyu mwenye madaraka ya kuumba na kutwaa roho atakuwa amekosea nini?
...au ndio kusema labda wewe ungeweza kumsaidia?

Kwani ulikuwa hujui anaugua, did you extend your help?



Huwa unasemaga 'Hakuna linalomshinda mungu' ameahindwa nini hapa?

Anyway niwachie hapo kwa sasa.

R.I.P Thadeo.
 
Petro pamoja na kuwa mwanafunzi wa Yesu lakini aliomba msaada , hakusubiri miujiza ndio awe Ole Mushi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…