Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hahaha Andrew kiboko sasa umewakosea nini wana nzengo ? Au ulevi na vurugu...kijijiniSasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Hivi ni kweli kuwa mna kichaa cha ukoo? Maana husomeki kabisaSasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Hahahaha hawawezi hao wanatishia nyauβ¦.yani mjukuu wa baba wa Taifa acharangwe mapanga?πππππSasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Kwani Poppy Hatonn anakunywa pombe? Eti mkuu unakunywaga pombe? Niliwahi kusikia hanywi ila Makongoro ndiyo mlevi.Jamaa zako mnaotembezeana round za bia mkiwa baa mnakunywa hawakujitokeza kukutetea mdau wao
Hapa umeandika kama mwalimu alivyokuwa akiongea. Nikawa nasoma huku naflow kwa kuiga sauti ya mwalimu.Nipo Mwanza sasa.
Wale watu wa ajabu sana.
Walikuwa wana kikao chao pale wanamsema Sagini( huyu wa Mambo ya Ndani).
Wanaelezena,"Huyu Sagini firauni sana" Hiyo ndiyo ilikuwa theme of the discussion,kwamba Sagini ni firauni.
Basi wameongea on and on,kwamba huyu Sagini ni firauni. Mi nimekaa pale,mpaka nasinzia,naamka, nasinzia,naamka nasinzia,bado tu wanaendelea,Sagini ni firauni.
Halafu hawa watu ndio wanasema wanaweza kupata genge la watu kunicharaza mapanga?
Echoes za Mwalimu?. Absolutely.Hapa umeandika kama mwalimu alivyokuwa akiongea. Nikawa nasoma huku naflow kwa kuiga sauti ya mwalimu.