Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Pole sana.

Kimbilia Ghaza ukawasaidie Wapalestina.
 
Watu wanajiua kila siku. It is absolutely unnecessary.
Watu wanasema sheria ni too crude,zinashindwa kuwalinda.
Sheria ni crude ndiyo. That is just as it should be.
Lakini lile jambo subtle,intangible,etherial which The Lawi cannot deal with,can be solved by psychiatry.
Tatizo hii nchi,solution ni Mirembe halafu unaenda kuwa rebirth as Schizophrenic.
Hatuna "Shrinks"...
Ni sisi washkaji ndio tunachukua nafasi ya Psychologist..
Wazee wetu watasema unahitaji upate Mke akuweke sawa.....even worse
 
Juzi nilikuwa natazama video ya Hunter Biden.(Hunter Biden ni mtoto wa Joe Biden)
Ile video ilikuwa inaonyesha matatizo ya drugs. Yeye ni drug addict. Basi anaingia na kutoka katika drug rehab centers kama cherahani.
Sasa watu wanashangaa,wanasema,"Lakini,lakini...lakini Joe Biden alikuwa Bungeni naye ndiye alikuwa anaiongoza Kamati ya Bunge,na alikuwa anapitisha sheria kali sana kuhusu drugs,halafu mtoto wake yuko hivi?"
Kwa hiyo video inaelezea vituko vingi vya Hunter Biden.
Mwisho pale anasema,"Katiba yetu inasema wazi,kiongozi haruhusiwi kutumia cheo chake kwa faida yake. LAKINI KATIBA YETU PIA INASEMA HILO KATAZO HALIMHUSU RAIS NA FAMILIA YAKE. Kwa hiyo,tusilalamike,wananchi,kwa sababu Katiba yetu ndivyo inavyosema."
 
Mimi nakumbuka siku alipoleta uzi ambao ni km huu ndio mwendelezo ilionekana kuna mkuu wa wilaya,katuma mjumbe ili amuambie jamaa apotee kutoka Butiama yaani kwama Butiama ni CCM,mkuu wa Wilaya ni mkuu wa CCM na kijana wa Mwl ni Chongolo.

Aku
Nani kasema wale wengine hawaandamwi na mikasa?
Kwa nini unadhani wako kimya namna hii?
Kwa nini unadhani ni huyo Makongoro tu ndiyo very very faintly anajitutumua kidogo?
 
Something wrong ni bora at your age 69yrs to find a therapy on how to treat ur mind

Ur no longer having serenity.(calmness)
My age is 70.
I have cone to the end of life.
Nimemaliza kuishi.
Nilikuwa natembea Arusha a few weeks ago,mtu mmoja akasema,"Mzee,angalia! Umri nao umekwenda!"
Nimeanzisha uzi huu. Kama mtu ana complaints against me,kwa nini asiziandike hapa?
Wanataka kuleta stupidity by which unamtazama mtu kama anaogopa,halafu unamletea visa vingi.
Halafu mtu hauelewi kwa nini balaa nyingi zinakuandama,kumbe you are encouraging it by being foolishly afraid.
Na mimi,nakumbuka sasa kwamba jana nimeagizwa niache( tabia yangu ya) kugombana na Wapinzani.
Kwa hiyo natumaini,Inshallah, hutasikia nimesema neno lolote kumsifu Rais Samia.
 
My age is 70.
I have cone to the end of life.
Nimemaliza kuishi.
Nilikuwa natembea Arusha a few weeks ago,mtu mmoja akasema,"Mzee,angalia! Umri nao umekwenda!"
Nimeanzisha uzi huu. Kama mtu ana complaints against me,kwa nini asiziandike hapa?
Wanataka kuleta stupidity by which unamtazama mtu kama anaogopa,halafu unamletea visa vingi.
Halafu mtu hauelewi kwa nini balaa nyingi zinakuandama,kumbe you are encouraging it by being foolishly afraid.
Na mimi,nakumbuka sasa kwamba jana nimeagizwa niache( tabia yangu ya) kugombana na Wapinzani.
Kwa hiyo natumaini,Inshallah, hutasikia nimesema neno lolote kumsifu Rais Samia.
True at your age 70 years all you need is wisdom and humbleness.

You need to admit that ur a victim ,

Unabidi kujifunza kutafakari ulipokuwa ulipo na unapobidi kufika na nini unabadi kuiachia dunia Kama zawadi stop to feed ur mind garbages.

The late Nyerere was very brilliant and he leaves this country with a lot of treasures. So what about you?

Change ur mindset ur not good at thinking and making marvelous things.
 
Huyo mzima kuliko wote, sema alibebeshwa mizimu ya machifu wote wa kizanaki, imemzidi kimo.

Andrew ukimsoma tu, unaelewa kuwa hiki kichwa siyo cha kawaida kabisa, super intelligent.
Anajaribu kuaminisha watu kuwa ni intelligent. Ni jamii ya Kisandu na Manthanzua.
 
Mbona handwriting kama ya DJ maarufu mmarekeni DON NALIMISON?
Kisandu the don[emoji23]
Nlisoma na jamaa anaitwa kisandu
Huyu sio Mpwayungu Village kweli aliyekimbia kule kondoa?
Don....ni ngumu sana kuficha utambulisho wako.
Nimewaza kama wewe sasa kwann dj wetu anajificha na wakati ni kitambo na tunatamani kumuona😁😁
Huyu ni Andrew Nyerere mtoto wa Mwalimu Julius Nyerere aka Baba wa Taifa. Kiufupi huwa akili zake anazijua mwenyewe
 
Nyerere alikuwa mbinafsi sana. Yani kalostisha familia yake. Angalia kama huyu hopeless na helpless. Nyerere asingekuwa mchoyo na mbinafsi sasa hivi huyu Andy angekuwa huko ufukweni Bahamas ama hawaii kaning'iniza poumbou tu huku akilishwa zabibu kwa kudondoshewa mdomoni na madem wakalii.

Kwani ilitakiwa Mwalimu afanyeje na familia yake. It was a purely African family yenye advantages nyingi comparing to an ordinary family.

Haya ni mambo ya kawaida tu ktk maisha.
 
Back
Top Bottom