FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huyo ni kamanda wa kwenye katuni fulani za science fiction, nadhani ipo na game yake. Nawaona wajukuu zangu wanaitana Kamanda Poppy Kamanda Poppy nikawauliza, wakanionesha.Hivi jina Poppy si ndiyo jina analopewagwa Mbwa? Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na kimbwa nakiita Poppy!
Siku nilipolikuta hapa kwa Andrew ikabidi nicheke tu, labda na yeye ni kama mimi, maana natazama katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, Mimi ni lazima nitazame katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, nikiona zina ujinga ujinga nawapiga marufuku kistaarabu.
Wazazi wao wananitania wanaponikuta nipo busy natazama lkatuni na wajukuu zangu, lakini nashukuru wanangu wananielewa, wanafahamu kwanini nafanya hivyo.