Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Nyerere alikuwa mbinafsi sana. Yani kalostisha familia yake. Angalia kama huyu hopeless na helpless. Nyerere asingekuwa mchoyo na mbinafsi sasa hivi huyu Andy angekuwa huko ufukweni Bahamas ama hawaii kaning'iniza poumbo tu huku akilishwa zabibu kwa kudondoshewa mdomoni na madem wakaliiii.
Andrew Ana vituko sana

Ova
 
Nipo Mwanza sasa.
Wale watu wa ajabu sana.
Walikuwa wana kikao chao pale wanamsema Sagini( huyu wa Mambo ya Ndani).
Wanaelezena,"Huyu Sagini firauni sana" Hiyo ndiyo ilikuwa theme of the discussion,kwamba Sagini ni firauni.
Basi wameongea on and on,kwamba huyu Sagini ni firauni. Mi nimekaa pale,mpaka nasinzia,naamka, nasinzia,naamka nasinzia,bado tu wanaendelea,Sagini ni firauni.
Halafu hawa watu ndio wanasema wanaweza kupata genge la watu kunicharaza mapanga?
Wacha ucharazwe tu kwa kweli sijui Hadi dasa wannfanya nn ujacharangwaa
 
Mental case
Watu wanajiua kila siku. It is absolutely unnecessary.
Watu wanasema sheria ni too crude,zinashindwa kuwalinda.
Sheria ni crude ndiyo. That is just as it should be.
Lakini lile jambo subtle,intangible,etherial which The Lawi cannot deal with,can be solved by psychiatry.
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Waswahili husema...kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani😂
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Wewe acha uzwazwa...!
Hilo jina lako tunatengeneza leseni kibao za import & export halafu tunafranchize....
Hebu nitafute...
Una kitu, utafika mbali...
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Andrew, pole sana kwa changamoto unazopitia, kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kucharazwa ni bakora, lakini kama ni mapanga ni kucharangwa!.

Nina swali moja kwako Kaka Mkubwa, watoto wa Mwalimu, mmezaliwa 8, why only you ndio unaandamwa na visa na mikasa?.
P
 
Chongolo,wewe kaa pembeni muache mkuu wa Wilaya aendelee na wana Butiama wengine.
Nipo Mwanza sasa.
Wale watu wa ajabu sana.
Walikuwa wana kikao chao pale wanamsema Sagini( huyu wa Mambo ya Ndani).
Wanaelezena,"Huyu Sagini firauni sana" Hiyo ndiyo ilikuwa theme of the discussion,kwamba Sagini ni firauni.
Basi wameongea on and on,kwamba huyu Sagini ni firauni. Mi nimekaa pale,mpaka nasinzia,naamka, nasinzia,naamka nasinzia,bado tu wanaendelea,Sagini ni firauni.
Halafu hawa watu ndio wanasema wanaweza kupata genge la watu kunicharaza mapanga?
 
Andrew, pole sana kwa changamoto unazopitia, kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kucharazwa ni bakora, lakini kama ni mapanga ni kucharangwa!.

Nina swali moja kwako Kaka Mkubwa, watoto wa Mwalimu, mmezaliwa 8, why only you ndio unaandamwa na visa na mukasa?.
P
Mbona ukisoma nyuzi zake tu unapata majibu kaka?

Huoni kuwa DOHANI yake haitoi moshi nje?
 
Mimi nakumbuka siku alipoleta uzi ambao ni km huu ndio mwendelezo ilionekana kuna mkuu wa wilaya,katuma mjumbe ili amuambie jamaa apotee kutoka Butiama yaani kwama Butiama ni CCM,mkuu wa Wilaya ni mkuu wa CCM na kijana wa Mwl ni Chongolo.
Andrew, pole sana kwa changamoto unazopitia, kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kucharazwa ni bakora, lakini kama ni mapanga ni kucharangwa!.

Nina swali moja kwako Kaka Mkubwa, watoto wa Mwalimu, mmezaliwa 8, why only you ndio unaandamwa na visa na mukasa?.
P
Aku
 
Back
Top Bottom